DOKEZO Inadaiwa kila aliyehudhuria Tamasha la Kizimkazi amelipiwa Nauli, Malazi na Posho kabambe, Hizi hela zimetoka wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
JPM alipokuwa akisema hela ipo yakujenga miundombinu tulimuona kichaa.

Ukipiga hesabu ya hiyo gharama unawezakuta unajenga kituo cha Afya kikakamiliki au visima kadhaa vya maji kwenye maeneo yenye shida ya maji.
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Nyie hela chadema si anakula mbowe pekeake nyie mnaimbishwa mapambio tu
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Akina Doto magari hao,Alafu wanakuja mitandaoni kutukana watu waliosoma 😄
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Aiseee! Huu ni wizi mkubwa kwa wananchi maskini CCM jibuni hoya hizi.
 
Kabla ya kuhoji hela zimetoka wapi tuletee ushahidi wa unachokisema.

Je ushahidi wa unachokidai uko wapi ?

Unaanzaje kuhoji jambo ambalo halijathibitishwa hata na wewe mwenyswe ?
Unafikr yule nyambichwa manywele atoe hela zake ajilipilie accomodation aende
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Usijali wajomba wanaotoa fedha za mafuta, watumwa na meno ya tembo.
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
"Inadaiwa.. " uncertainty.
 
Back
Top Bottom