DOKEZO Inadaiwa kila aliyehudhuria Tamasha la Kizimkazi amelipiwa Nauli, Malazi na Posho kabambe, Hizi hela zimetoka wapi?

DOKEZO Inadaiwa kila aliyehudhuria Tamasha la Kizimkazi amelipiwa Nauli, Malazi na Posho kabambe, Hizi hela zimetoka wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi najiweza, ninaweza kuwafungia ndan wewe na dada yako pamoja na huyo mume WENU, kazi YENU iwe Kula na kujamba tuu bila kufanya kazi yoyote ndani ya mwaka mmoja
AAH WAPI,WEWE FANYA KWANZA UTOKE KWA SHEMEJI YAKO HAPO KIMANZICHANA,UKIENDELEA KUWA MKAIDI MWISHO WA SIKU ATATAKA UMSADIE DADA YAKO MAJUKUMU,SASA USISUBIRI HILO LITOKEE...FANYA UONDOKE MUDA HUU.
 
AAH WAPI,WEWE FANYA KWANZA UTOKE KWA SHEMEJI YAKO HAPO KIMANZICHANA,UKIENDELEA KUWA MKAIDI MWISHO WA SIKU ATATAKA UMSADIE DADA YAKO MAJUKUMU,SASA USISUBIRI HILO LITOKEE...FANYA UONDOKE MUDA HUU.
Au kama VIP nije pm nikupe hata laki 5 unipe mk*Nd* maana naona unashoboka na reply zangu naona wewe ni mtu wa upinde 🌈
 
Kazi mliyobakia nayo upinzani ni uzushi ,uongo na uchonganishi tu.ndio maana watanzania wanaendelea kuwapuuzeni kila uchao,maana wameona ninyi ni wababaishaji na mliokosa ajenda na sera za kueleweka kwa wananchi
Wewe kibwengo mbona hujaenda Kizimkazi kula vya bure?
 
Au kama VIP nije pm nikupe hata laki 5 unipe mk*Nd* maana naona unashoboka na reply zangu naona wewe ni mtu wa upinde 🌈
UNAONA SASA,MI NILIJUA TUH,HUYO MUME WA DADA YAKO HAWEZI KUKUACHA SALAMA,WE ULISKIA WAPI YEYE AWE ANAKULISHA TUH HAPO BURE BURE BILA KUKUOMBA MASABURI??ONA SASA KIJANA MDOGO UMEAGA MASHINDANO MAPEMA KABISA KWA KUPENDA KWAKO MSEREREKOO...
 
Mbona wazee wetu walichukia kutawaliwa na Waingereza kwanini sisi tufurahie kutawaliwa.
Kisiwa cha Uingereza kiko mbali sana nasi....tena cha watu WEUPE...

Kisiwa cha Zanzibar hicho hapo...ni kipande cha Dar es salaam...kilisogea tu kilipo baada ya matetemeko ya ardhini na baharini miaka elfu 5 huko nyuma....kikabaki pweke miaka mingi....ni karne chache tu zilizopita WAMAKONDE ,WANGINDO ,WAZARAMO ,WAMWERA,WANYAMWEZI,WAMAKUWA,WANDENGEREKO,WADIGO,WASEGEJU,WABONDEI,WAZIGUA walihamia huko....yaani kama walivyohamia ndugu zetu huko MSOMERA....

Karibu Al Kasus ,al aswir hii [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Kizimkazi imeanza baada ya DP word
 
Kabla ya kuhoji hela zimetoka wapi tuletee ushahidi wa unachokisema.

Je ushahidi wa unachokidai uko wapi ?

Unaanzaje kuhoji jambo ambalo halijathibitishwa hata na wewe mwenyswe ?
Umewahi kuona wapi pay voucher ya rushwa?
 
Sijawahi kushiriki ujinga
Kupata pesa ujinga? Mbona Mbowe na Lisu wanapenda pesa hadi kuchangisha kwa vitu ambavyo hawatoi ripoti kwa wanachama

Mwanachadema gani hupendi pesa wakati wenzio wanalamba una pepo.la umaskini utakufa lofa
 
Kupata pesa ujinga? Mbona Mbowe na Lisu wanapenda pesa hadi kuchangisha kwa vitu ambavyo hawatoi ripoti kwa wanachama

Mwanachadema gani hupendi pesa wakati wenzio wanalamba,
Umeelewa mada?
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Kodi za wadanganyika na mamikopo
 
Back
Top Bottom