DOKEZO Inadaiwa kila aliyehudhuria Tamasha la Kizimkazi amelipiwa Nauli, Malazi na Posho kabambe, Hizi hela zimetoka wapi?

DOKEZO Inadaiwa kila aliyehudhuria Tamasha la Kizimkazi amelipiwa Nauli, Malazi na Posho kabambe, Hizi hela zimetoka wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yote haya ni kutokana na ujinga tulionao Watanganyika, huu Muungano sio kabisa.
mbona kama muungano sisi ndio tunajifanya tunaumia sana na Muungano lakini viongozi WA nchi wenyewe kiuhalisia wanajua Zanzibar ndio unaumizwa.
 
Wewe nilshaku ignore, umerudije kwenye nyuzi zangu, Moderator nisaidieni kuignore huyu kapuku
Hutaki fikra mbadala...unapenda kulazimisha "yanayotaka fikra zako"....

Endelea kujifungia katika mindset ya "ulevi wa fikra zako binafsi"....

Kapuku ni yule "mbaguzi" wa wengine"..

#JMT milele dumu[emoji7]


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
USHAHID UKO WAPI??AU KAMA NAWEWE UNATKA KULIPIWA MTOTO WA KIUME SI USEME??NDIYO MAANA MNAAGA MASHINDANO KWA KASI SANA WATOTO WA SIKU HIZI KWA KUTAMANI VYA BURE BURE.
 
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!

Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Kodi ya Tanganyika. Zenji wenewe hawejiwezi hata umeme huwa tunawasamehe bili.
 
Ujue huna umuhimu,kausha badala ya Kulalamikia kama yatima

Umuhimu wa nini? Inategemea wewe binafsi nini ni muhimu kwako. Kila mtu anaangalia mambo ya dunia kutoka kwenye reference point yake.
Mfano, Mandela aliona hawezi kula bata akawaacha waafrika wanateseka. Ila wapo waafrika walioona lazima wale na wazungu ili mambo yao yawe murua.
Wote ni waafrika ila sio wote wanafikiri na kuamua sawa. Next time ukumbuke kuwa unachokifanya labda ni muhimu kwako, ila sio muhimu kwa kila mtembea barabarani
 
Mwacheni mama jamani yule mwamba alijenga international airport kwao hospitali ya kanda , akatengengeneza na mbuga ya wanyama feki akiwaiga waarabu wa Dubai wakati ule mbona hamkusema ? Mliufyata sasa leo mama kufanyiwa tamasha tu imekuwa nongwa ? acheni hizooo
 
KWANI UNAPOENDA NA WEWE KUFANYA SHEREHE KWENU KIMANZICHANA KUNA MTU ANAKUULIZA??SHOBO TUH
Mimi natumia pesa zangu situmii pesa za walipakodi, situmii pesa za wavuja jasho kusafirisha machawa kama nyie wala wasanii, wala silipi machawa kama nyie muwende kimanzichana, wala situmii pesa za walipakodi kulipa vyombo vya habari viende vikave habari kimanzichana.
 
Kazi mliyobakia nayo upinzani ni uzushi ,uongo na uchonganishi tu.ndio maana watanzania wanaendelea kuwapuuzeni kila uchao,maana wameona ninyi ni wababaishaji na mliokosa ajenda na sera za kueleweka kwa wananchi
 
Back
Top Bottom