THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
UTUMIE HELA,WE UNA HELA AU UNA HELENI??Mimi natumia pesa zangu situmii pesa za walipakodi, situmii pesa za wavuja jasho kusafirisha machawa kama nyie wala wasanii, wala silipi machawa kama nyie muwende kimanzichana, wala situmii pesa za walipakodi kulipa vyombo vya habari viende vikave habari kimanzichana.
SASA,UNATAKA UJIFANANISHE WEWE KALUBANDIKA NA RAIS WA NCHI HII??
WE PIGA PIGA KELELE ZAKO HAPA JF UONDOKE ZAKO.