Bapalidako
Member
- Aug 6, 2024
- 79
- 166
Siyo kila kitu muwe mnajibu sababu ya kumfurahisha furani,vingine vitakuja kuvigharimu vizazi vyenu,unaweza wewe ukawa chawa lakini siku mwanao atakapotaka kuutafuta ukweli uliokuwa unaupindisha mzazi wake,itamgharimu mara dufuTangu lini Tamasha la utamaduni la kutangaza Utalii wa Tanzania ukawa ujinga?
Una uhakika wewe sio ndio kwanza inaonesha ujinga wako?