Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

Ni imani yangu Jumatatu utakuwa umelala na mumeo huku mmejifungia ndani.

Watanzania nawajua vizuri 😁😁

Ila kiukweli machinga mmevuruga miji sana! Inatakiwa mhamishiwe nje kabisa mbali na miji la sivyo hiyo miguu tutaivunja
 

nimepita leo mwanza muda wa jioni.nimesikia hilo tangazo .

je ! maeneo wamewatengea !

ila kinachotokea sijui
 
Watahama,tutawarudisha tena barabarani ikifika karibu na Oktoba 2025,na walivyowapuuzi watafurahia na hawatafanya makosa kwenye boksi la kura kwa kutupa tena jembe na nyundo ulaji na tutawafulumua tena Aprili 2026.
 
Sema umechoka wewe siyo kuwasemea wengine na wajinga kama nyie ndiyo mnairudisha nyuma Afrika kwa kukamia vitu ambavyo hamviwezi,huna ubavu wa kufanya lolote hiyo j3 mbwa tu wewe wenye kutenda hawajitapi kwenye mitandao bali utaona majibu kimyakimya

Mjusi wa blue tu weee
 
Nyie ndo mmemwaga vitunguu pale round about ya Nyerere?
 
Leo mchana nilipita mitaa ya Nyerere road, pamba pamoja na mtaa wa rumumba, Kwa kifupi tu ni kwamba, jumatatu kutakuwa na Vita Mwanza.
 
Nakukumbusha kwamba uchaguzi umeshaisha na kula mmeshatoa,ni mda Sasa WA kufuata Sheria, samahani sana ndugu mnyonge.tusubiri Tena hadi 2024
 

 
Machinga ni mtaji wa kisiasa wa chama kileeee kwenye chafuzi kuu.....kuelekea 2025 mtatafutwa tena mpange bidhaa zenu kwenye lami.
 
Fuateni utaratibu utakaokuwa umewekwa ili msipate hasara ya kupotelewa na bidhaa zenu!!
 
KABLA HAMJAFANYA CHOCHOTE SOMENI HII



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…