Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

Mimi n mtu wa hali ya chini lakin ule uzagaaji wa machinga jijin mwanza siuungi mkono,mnatakiwa muondolewe
Hujawayi kukumbana na dhoruba... Ila siku ikikukumbuka utatamani ufute kauli yako hii...
 
Nchi lazima iendeshwa kwa kufuata sheria na taratibu.

Barabara,zina maeneo yametengwa kwa ajili ya magari,two lane,kwa ajili ya kurahisisha movement ya magari na njia za waenda kwa miguu,na mitaro. Nyinyi hizi zote mmeziba. No way. Nchi haiwezi kuendeshwa kishamba namna hiyo!

Nyinyi ni kina nani? Nyinyi ni kundi maalumu ambalo hamuwezi kuguswa mnapovunja sheria? Mnajidanganya sana.

Muwe tayari kuvunjwa miguu,kufirisiwa,na hata kwenda jela kama mtaleta ubishi.
 


Mkuu hata ulaya na amerika kuna machinga ila sio kwa style ya wamachinga wa Tanzania...ungekuwa mfanyabiashara kwenye mij mikubwa ungeelewa nanachoongea...hata Kama ni kutafuta kipato lazima kuwe na utaratibu..huyo machinga anayepanga vitu mlangoni kwa mwenye duka unadhani huyo mwenye duka anaathirika kwa kiasi gani..kuu fikiria nje ya box...usiangalie upande mmoja tu. Lazima machinga wawe na sehemu zao za kufanyia biashara na si mbele ya maduka ya watu au barabarani.
 
Namba inasomwa kila mahali
 
Dah
 
Elimu za chuo kikuu za kuzuia haki za wengine?
Kuziba barabara. Kuziba njia za waenda kwa miguu. Kuziba mitaro. Kuziba biashara za wengine. Basi huko chuo kikuu walienda kusomea ujinga. Wapambane na hali zao.
 
Huwa mnapata Raha gani kujiita masikini au mnaona sifa
 
Hakuna nchi siyo na utaratibu. Mtahama tu
Nnapingana na wewe mkuu zipo nchi zisizokuwa na utaratibu duniani na Tanzania ni mojawapo. Kwa karibu miaka 6 sasa down the road nchi yetu imekosa utaratibu na tumeruhusu ujinga utuongoze unavyotaka matokeo yake tumefika hapa tulipo. Mambo ambayo yapo kisheria kabisa yanatuletea mijadala. Tunajadiliana nn na sheria zipo kuhusu hayo mambo kwanini tusifuate sheria zilizopo kwanza?
 
Nimeukumbuka wimbo wa prof J.. bongo darisalama...mgambo na machinga wanaposhikana mashati....

Hatimaye nimeweza kuchangia tena. Maana hata sielewi shida ilikuwa nini, jamaa wameniondolea haki za ku like, kuchangia mada wa kuanzisha uzi.

Ama ilikuwa shida ya mtandao.. @moderators
 
Ndiyo itakavyokuwa, CCM itageuka mtetezi wao, wala hawatafurushwa. Watapiga biashara kwa uhuru kabisa na wataichagua tena CCM mwaka 2025. Halafu wapinzani watakuja kuwaambia andamaneni nao watawacheka kama ulivyocheka sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Teh teh teh teh...mbona una hasira sana kijana?...tatizo nini?
 
Dar wameshaanza kubomoa wenyewe bila shurti baada ya kipande Cha Airport Vingunguti kufanyiwa demonstration.
 
Pale vingunguti hakusimama hata ngedere mmoja, huwa wanasimama wale wenye alama ya damu kudadeki

Inasemekana kuna jamaa alikufa palepale kwa mshtuko lakini hata mwandish hakusogea kuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…