muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale nyumbani kwenu?
Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza
Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?
Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?
Haiwezekani haiwezekani haiwezekani
Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.
Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.
Tumechoka upuuzi