Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,

Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?

Tukale nyumbani kwenu?

Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza

Mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?

Mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?

Haiwezekani haiwezekani haiwezekani

Jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi.

Jumatatu mkae kwa umakini tuna jambo letu.

Tumechoka upuuzi
 
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,

sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?

tukale nyumbani kwenu?

Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza

haiwezekani haiwezekani haiwezekani

jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi,

Jumatatu mkae kwa umakini Tuna jambo letu
Hakuna nchi siyo na utaratibu. Mtahama tu
 
Imeisha hiyo, pigeni kazi tu
 
Maneno matupu tu haya,mwaka jana kwenye uchaguzi kilichotokea mlijua wanaoadhibiwa ni wapinzani tu na nyie hayawahusu?

Sasa mtatoka na hamna kitu mtafanya na mkianza kuwa vibaka mitaani matairi yapo tutawakaanga.
 
Mwanza ilishawajaribu wapinzani lakini hakuna alama yoyote walioiacha. Ukiona watu hawawaungi mkono hao wapinzani jua walishawaona hawana jipya.
 
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,

sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?

tukale nyumbani kwenu?

Tumesoma kwa gharama mmekataa kutuajiri tumejiajiri mnatufukuza

mnadai machinga hawalipi kodi kwani sisi tumewazuia kutudai kodi? mlikuja kuombatukakataa?

mnasema tunaziba njia mlishasikia gali imeshindwa kupita kisa machinga? kati ya katikati na mji na pembezoni mwa mji ni wapi ajali hutokea mara nyingi?

haiwezekani haiwezekani haiwezekani

jumatatu afe beki afe kipa heri nifie barabarani lakini sitakubali kunyanyasika bila sababu za msingi,

Jumatatu mkae kwa umakini Tuna jambo letu

Tumechoka upuuzi
Maneno matupu nyuma ya keyboard! Hakuna kitu utafanya. Ushauri Wangu wa bure: Tii sheria bila shuruti.
 
Basi watulie hivyo hivyo kama walipoamua kuwaunga mkono wachafuzi wa uchaguzi watulie wakafanyie biashara zao vichakani.
Ungekuwa unaijua siasa sasa hivi ungeficha hizi kumbukumbu mbovu, ungejifanya unasikitika nao ili hatimaye wakuone wewe una afadhali kuliko washindani wake. Siasa ni mchezo wa mahesabu ya kimkakati, kuvizia hisia za watu dhidi ya mshindani wako.
 
Watakuja na PGO kuwashughulikia, nanyi pia kanuni na sheria za miji zinawataka mfuate sheria bila shurti wala vurugu.

Wakati wa matamko ya kisiasa au kuonesha kuwa ni mpiga kura wa CCM mwenye kadi ya chama umekwisha , sasa sheria ndiyo inatakiwa kutawala bila ubaguzi wa vyama.

Polisi wamechoka kutumika kisiasa na chama tawala.

Maendeleo Hayana Chama !

Okoa mali zako joo!
1f605.png
 
Back
Top Bottom