Inadaiwa kuna kundi fulani CCM linatamani Lissu ashinde ili wapate sababu ya kumpumzisha mtu wao

Hakuna ubishi, umemaliza , ndivyo ilivyo kabisa.
 
Hahaha....ngoja nicheke tu bila kucoment.

Maana wanaccm wenyewe wanasema mtu pekee aliyemweza Magufuli alikuwa ni Lissu.
 
Kwa mujibu wa
Mh. Rais amefanya kazi kubwa sana inayojinadi yenyewe mfano:-
1. Kutekeleza miradi mbali mbali ya kimkakati
2. Ujenzi wa miundombinu sekta mbalimbali ziliwemo afya na elimu
3. Ajira kwa wahitimu zaidi ya 150,000+
4. Kuboresha uchumi
5.kusimamia utawala bora
6. Kuwezesha makundi mbali mbali
7.Kufanya mageuzi ya kisiasa Mfano, mabadiliko katika mfumo wa kisiasa kwa lengo la kuleta uwiano, usawa na amani.

Haya ni baadhi tu ya mambo ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amefanya katika utawala wake. Juu ya yote, ameonyesha uongozi thabiti, subira, hekima na uwezo wa kuunganisha watu pamoja kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. 5 za nguvu kwa mama!
 
Refer kilichompeleka Dr. Slaa Lupango
 
Hata akishinda watamnyong'onyeza chama kisiwe na nguvu.
Kumpa nguvu lisu kutaiabisha nchi kwa matusi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…