Inadaiwa kuna kundi fulani CCM linatamani Lissu ashinde ili wapate sababu ya kumpumzisha mtu wao

Mwenyekiti is holding the four aces ndani ya Chama ndivyo ilivyokuwa miaka yote na ndivyo ilivyo hivi sasa na ndivyo itakavyokuwa hapo baadaye !

Hakuna wa kumtingisha !
Labda atake mwenyewe !
Na Ule upande wa pili wa shilingi huko pia yeye ndiye top top manyota hakuna wa kumbabaisha !

Tukisema ule msemo “ Locuta causa finita muwe mnatuelewa Bandugu !
Iko vile na ndivyo itakavyokuwa !
Au nasema uongo ndugu zanguni ????!
😂😂👍🙏🙏
Hakuna ubishi, umemaliza , ndivyo ilivyo kabisa.
 
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.

Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Hahaha....ngoja nicheke tu bila kucoment.

Maana wanaccm wenyewe wanasema mtu pekee aliyemweza Magufuli alikuwa ni Lissu.
 
Kwa mujibu wa
Mh. Rais amefanya kazi kubwa sana inayojinadi yenyewe mfano:-
1. Kutekeleza miradi mbali mbali ya kimkakati
2. Ujenzi wa miundombinu sekta mbalimbali ziliwemo afya na elimu
3. Ajira kwa wahitimu zaidi ya 150,000+
4. Kuboresha uchumi
5.kusimamia utawala bora
6. Kuwezesha makundi mbali mbali
7.Kufanya mageuzi ya kisiasa Mfano, mabadiliko katika mfumo wa kisiasa kwa lengo la kuleta uwiano, usawa na amani.

Haya ni baadhi tu ya mambo ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amefanya katika utawala wake. Juu ya yote, ameonyesha uongozi thabiti, subira, hekima na uwezo wa kuunganisha watu pamoja kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. 5 za nguvu kwa mama!
 
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye nchi moja ya Asia ndiye atashinda na kupeperusha bendera ya chama.

Bimkubwa usalama wako ni kumpigania mjomba angu aendelee kuongoza kikoba kwa miaka mingine 5 vinginevyo anza kufungasha mabegi.
Refer kilichompeleka Dr. Slaa Lupango
 
Hata akishinda watamnyong'onyeza chama kisiwe na nguvu.
Kumpa nguvu lisu kutaiabisha nchi kwa matusi yake
 
Back
Top Bottom