Inadaiwa Lazaro hakufa bali alipewa dawa akalala usingizi mzito, baada ya saa 72 akaziduka huku Yesu akija na kudai kumfufua

Kwani hawa wote umewajuaje mkuu??

hoja yangu ni kwamba hawa wote tumewajua kwa historia,zilizoandikwa.

Au kwavile tu lazaro alifufuka ndio maana umetoa macho??vipi da gama na boat duni aliwezaje kukatiza kwenye bahari hata usiku mzito??
Kwanza kabisa hujathibitisha Lazaro alifufuka.

Hiyo ndiyo point ya muhimu.

Hayo mengine yote ni kuondoana kwenye reli.
 
Kwanza kabisa hujathibitisha Lazaro alifufuka.

Hiyo ndiyo point ya muhimu.

Hayo mengine yote ni kuondoana kwenye reli.
Sawa mkuu,hakuna sehemu nilisema nitathibitisha,hakuna.
Nilichofanya tu nilirejea kwamba historia nyingi hazina vithibitisho zaidi ya maandishi.

Kama hiyo pekee itatosha kuzikataa ni sawa tu.
 
Wangejitolea kwanza kunywa hiyo dawa na kuzikwa alau kwa masaa 48 ndipo waje na hizo ngonjera.
 
Hiyo dawa naijua. Ni chungu hatari
 
Sawa mkuu,hakuna sehemu nilisema nitathibitisha,hakuna.
Nilichofanya tu nilirejea kwamba historia nyingi hazina vithibitisho zaidi ya maandishi.

Kama hiyo pekee itatosha kuzikataa ni sawa tu.
Historia zina uthibitisho zaidi ya maandishi.

Ndiyo maana nikakuuliza unajua historicity ni nini?

Tatizo siyo tu hujui, hutaki kujua.
 
Yesu mwenyewe kashakufa na alishindwa kujiokoa na akafa kifo cha fedheha cha laana ya taurati ndio aweze kumfufua mtu vioja vilioje mtu mwenye matatizo ya akili pekee ndio anaweza kuamini hadithi za Abunuwas 😅😅😅😅
 
Acha fix wewe.
 
Acha upotoshaji wewe!
 
Ndio maana hayo yanaitwa mambo ya imani kwani hayawezi kuthibitishwa kisayansi ni sawa na pale mtu anaposema kuna kitabu eti kilishushwa kutoka mbinguni na mwenyezi Mungu ila ukitafuta mashahidi walioona kikitelemshwa, hutawapata lakini wenye kuamini wanaamini kwamba kilitelemshwa.
 
Historia zina uthibitisho zaidi ya maandishi.

Ndiyo maana nikakuuliza unajua historicity ni nini?

Tatizo siyo tu hujui, hutaki kujua.
NImemtaja da gama makusudi sijui ulielewa nia yangu???embu leta uthibitisho hapa kwama alizunguka dunia nzima.
 
NImemtaja da gama makusudi sijui ulielewa nia yangu???embu leta uthibitisho hapa kwama alizunguka dunia nzima.
Ndiyo maana nikakuuliza unaelewa historicity ni nini?

Unaishia kusema historia haina zaidi ya maandishi.

Hatuwezi kuelewana kama hutaki kujifunza vitu basic kama historicity.
 
Ebana walikua vizuri sana, yaani miaka iyo kuwa na dawa za kulala kwa masaa 72. Aisee walikua magenius
 
Ata
Aliwekewa dawa nyingi mpk akaanza kunuka...???
 
Nyie wavaa kobazi, endeleeni kumwabudu Shetani na mtume wenu Mudy, Yesu hawahusu ni mali yetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…