Pre GE2025 Inadaiwa Lissu atanunuliwa gari jipya na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
atanunuliwa na watanzania cyo majizi ccm
actually ni kweli,
ni pesa za kiTanzania zitamfanya anunuliwe gari jipya, kubwa la kisasa kupitia CCM πŸ’
This is how Lissu's aquarius star looks like . Let it be to our next president Tundu Lissu.
relax and don't panic,
he will not be in ballot papers come 2025 general elections πŸ’
 
Hakuna mjinga wa kukubali pesa yenu au gari yenu ccm hamuaminiki
labda angekuwa mwingine kwa lissu apokee tu mama hana baya we ngoja wakati wakampen ndio ccm watajua wanajua hawajui, ningekuwa lissu na kadi ya chama ningechukua kabisa afu ningegombea hukohuko chaman hy nch yetu sote *****
 
Baada ya kushindwa kumwua kinguvu mnaona muda mzuri ni kumpa faraja ya gari ili mmalize kiaina.
project ya CCM iliyopo ni huyu kiongozi muungwana kupata usafiri wa kisasa ambao itamsaidia kwenye shughuli na kazi zake binafsi na za kifamilia, na si vinginevyo πŸ’
 
labda angekuwa mwingine kwa lissu apokee tu mama hana baya we ngoja wakati wakampen ndio ccm watajua wanajua hawajui, ningekuwa lissu na kadi ya chama ningechukua kabisa afu ningegombea hukohuko chaman hy nch yetu sote *****
ni mTanzania mwenzetu, rafiki na ndugu wa wengi sana CCM, hakuna ubaya kibinafsi na kwakweli hakuna lenye shaka juu ya mahusiano baina ya Lisu na wana CCM . Gari atapatiwa bila masharti yoyote ya matumizi na yuko huru kufanya siasa zake kadiri anavyoona inafaa πŸ’
 
Inadaiwa... πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Hivi ni kweli CHADEMA wameshindwa kumnunulia Lisu gari mpya?
walishindwa mapema sana gentleman πŸ’

mpka akaamua yeye binafsi kupiga magoti na kuomba achangiwe pesa ya kununulia gari,

hata hivyo,
mpka sasa pesa iliyochangwa labda labda anaweza kununulia IST tu πŸ’
 
Hela anazodai hamjamlipa ila mnataka kumnunulia gariπŸ˜‚πŸ˜‚
alishalipwa fedha zake zote ikiwa ni pamoja na za matibabu, posho za vikao, marupurupu na malimbikizo yake yote,

cha kushangaza tu ni kwamba, baada ya kulipwa mamilioni yake akayafuja akasahau kumbe hana gari huku pesa zikiwa zimemuishia kabisa...

ndipo akaja kuanzisha huu mradi wa kuchangiwa pesa ya kununulia gari πŸ’
 
Hakuna lisilowezekana chini ya jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…