Pre GE2025 Inadaiwa Lissu atanunuliwa gari jipya na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni jambo jema sana.
Ikiwezekana jumla ya fedha ikanunua helkopta au gari maalumu lenye uwezo wa kuzuia chochote kupita.
 
Ni jambo jema sana.
Ikiwezekana jumla ya fedha ikanunua helkopta au gari maalumu lenye uwezo wa kuzuia chochote kupita.
CCM wamejipanga kumnunulia gari jipya kubwa la kisasa pekee, mengine atafanya mwenyewe kadiri atakavyoona inafaa ๐Ÿ’
 
..mkimnunulia gari atabadili MSIMAMO?

..suluhisho ni kupatia majibu HOJA za Tundu Lissu.
 
Mtamhonga au mtampa kwa grounds zipi?
anapewa usafiri huo kwa matumizi yake binafsi na atakavyoona yeye...

na atapewa kulingana na hali yake ilivyo sasa,

na atapewa gari hilo jipya kubwa la kisasa bila masharti yoyote๐Ÿ’
 
..mkimnunulia gari atabadili MSIMAMO?

..suluhisho ni kupatia majibu HOJA za Tundu Lissu.
huo ni uhuru na haki yake kadiri atakavyoona inafaa ๐Ÿ’

CCM hujibu hoja za wananchi kwa naneno na matendo na ndio maana unaona maendeleo kila mahali...

Lakini pia CCM husaidia watu mbalimbali binafsi kama ambavyo imeona ni vizuri ikasaidia hicho kidogo kwa Lisu,

Kwan kuna ubaya wowote gentleman ๐Ÿ’
 
CCM ni chama makini. Lissu naye akipata gari lake atulegezee. Mara mojamoja aongelee mema ya serikali ya awamu ya sita.
 
Eehh Mwenyezi Mungu, mbariki Mama Samia, huu moyo ni wa kipekee, lissu na yeye apate usafiri.
 
Unafiki wa CCM!
Pamoja na hayo CCM ngeisistizia serikali yake kuwakamata wale wote waliompiga risasi na kuwafikisha mahakamani kama ambavyo imeitaka kuwaachia viongozi wa CDM na wafausi wao waliokamatwa na kupigwa kule Mbeya!
Zaidi ya hapo tunazidi kutumia jicho la tatu kusoma between the lines! Kambale mkubwa anaweza kuvuliwa kirahisi kwa ndoana.
 
anapewa usafiri huo kwa matumizi yake binafsi na atakavyoona yeye...

na atapewa kulingana na hali yake ilivyo sasa,

na atapewa gari hilo jipya kubwa la kisasa bila masharti yoyote๐Ÿ’
Ndo mapinduzi pekee mliyobaki kufanya.
Mwambieni Abduli alete jipya kutoka Oman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ