Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

... kati yao wa kulaumiwa nani?
Mwanamme mpumbavu sana tena sana, hii story inaweza kuwa kweli au sio kweli tuseme kuwa ni kweli, wewe mwanamme unajuwa kabisa mwanamke hakupendi na labda yeye ndio alisababisha aondoke kwa mumewe wa kwanza sasa kama uliweza kumtoa kwa mumewe wewe umemuumiza mtu na wewe ujuwe utatendewa. Ok unamnunulia nyumba sijui biashara kwanini usiweke masharti katika manunuzi kama mke unajuwa kaja kwa ajili ya pesa hapa mimi namlaumu mwanamme 100% mjinga na hakujipanga.
 
Sasa hivi tunaenda kwenye mafunzo muda wote tutavaa bulletproof
Bullet proof haitolewi kama njugu...

Kiufupi huwezi ipata labda uwe Mtu mashuhuri, mfanyabiashara mkubwa, mwanasiasa mkubwa

Sasa we mtega mikono mwisho wa mwezi bproof hupati.

Ukileta upuuzi magazine 2 za barreta zinaishia mwilini mwako
 
Kwamba unamjengea mwanamke nyumba tatu zote za kazi gani?
Kuna wajinga hufanya hivyo.

Mi simuhusudu mwanamke, wanawake ni wengi duniani.

Ukiona anazingua tafuta mwenza wake
 
Mwanaharakati sio wa kumuamini
 
Ukisoma comments za watu humu utashangaa nchi hii tuko wapi? watu wana support tu mauaji kwa ajili ya mapenzi? Serikali ni lazima itunge sheria za kulinda wanawake na wanaume maana huko nyuma tumeona wanawake wanachoma wanaume na moto kisa mapenzi. Mimi nasema ni ushamba kuuwana kwa ajili ya mapenzi mtu kama hakupendi hakupendi tu tafuta wa kwako japo kuna maumivu kwenye process. Na ukisoma comments za watu humu ujuwe wengi hawajiamini na kama wanawatisha wake zao wakisoma humu. Kweli wanaume dhaifu sana pamoja na misuli yetu waoga sana kuachwa. Humu ni kama kila mtu anamtishia mkewe 😉
 
Hujajua hata ulichoandika , kama mtu humpendi Kwa nini usimwambie mapema wakat anakupiga mistari ? Una uhakika jamaa alijua ameolewa ? Wadada wa mjini ukimtongoza ukamuuliza Una mtu , anakwambia sina , na hakuna mtu anayeoa binti aliyeolewa , mpak mnafunga na ndoa kabisa ina mana umeridhia , then unapiga u-turn, huyo dada alikuwa mdangaji , alikuwa analiwa mpak na akina Hbaba ,

Jamaa amejitosa kumhudumia kama mke kumbe yeye anachuma , kama alikuwa hamtaki angemrudishia nyumba zake zote na Magari , arudi alikokuwa na naamini hapa ndo kulikuwa na ugomvi , jamaa anaenda mpak kwao na demu kusuluhisha alaf manzi anapiga chenga ....

Jamaa kumuwasha risasi alipatia Sana kinachoniuma tu mwamba hakuwa na escape plan , angembutua risasi alaf akachora Pori....!! Nikujengee nyumba tatu, na gari mbili nikupe alaf ukale bata na akina Hbaba machawa , kama hunitaki rudisha vyote usepe na k-uma yako .... Hakuna mwanaume popoma anayeweza kubali such kind of shit
 
... huku ameshamjengea nyumba 3! Dah; omba Mungu yasikukute; tusimcheke Said.
Hii story ya nyumba 3 ina mashaka maana tunaambiwa ndoa ina miezi 5 tu sasa hizo nyumba zilijengwa wakati wa uchumba au? kama ni kweli huyu Said jinga number moja Tanzania unamjengea kimada nyumba 3 ili iweje? kama ni kweli huyu jamaa mjinga ndio maana matendo yake ya kijinga yameenda naye.
 
Hivi Itakuwaje Tukiwaza kuwa Ex wa Swalha ndo kawaua wote wawili na kwenda kumtupa Said Ziwani?
Mawazo kama haya ni majasusi ya Kremlin tu yaliyomzunguka Putin ndio yanaweza kufikiri hivi! Wakati jamii yote imeenda kulia ww umekwenda kushoto!
 
Wanaume wa kanda ya ziwa na misimamo yao VS Wanawake wa Singida na drama zao!
Lazima pangechimbika haya makabila huwezi kuwaweka pamoja km mke na mume
Mwanamke si wa Singida yule
 
Na Bado jamaa nasikia alitoka safari,na Akamuomba mke wake aende akampokee. Etii mke akamjibu gari haina Mafuta chukua boda..
Si mnasema jamaa tajiri kamjengea nyumba tatu na magari ila yeye kujinunulia gari hana uwezo? unatoka safari na nini bus? tajiri, mbona dot haziungi hapa? haina petrol tajiri alishindwa kutuma pesa jaza mafuta, tuma dereva hawa matajiri gani kujengea nyumba tatu mademu wanaweza wao hawana usafiri. Hii story inaungwa kutaka kuonesha mwanamme alikuwa sawa, Tajiri huna gari private 😉
 
Hya yamesemwa na mama mzaa Chema mwenyewe. Sio maneno ya mtaani. Ingia Millard ayo usimkilize huyo mama wa swalha
 
Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha.

Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Ila kifupi mwanamke alikuwa mcharuko
 
Story zote fake, mara alimjengea nyumba na magari? yeye hana gari anaomba lift kwa mkewe. Mara alimsomesha mara alikuwa muuza bar. Mara alimuomba ruhusa mumewe anatoka akamruhusu ila alichelewa kurudi, mwanammke gani akamruhusu mkewe atoke usiku peke yake. Hizi story bado hazijakaa sawa
 
Mkuu hata wanaume wanatobo ndo maana wanaibuka watu kama james delicious anyway hilo tobo ndilo lililokuleta duniani shukuru sana genye bila hivyo ungekua zako funza wa chooni
Tukio kama la Said wanawake mjipange mtashuhudia mengi kwanza matobo yenu sasa hivi hayana stimu hata kwenu wenyewe ila misumari mnapanda daily, mjipange sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…