igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Legacy imepotea kwa yeye kujiua maana imeonekana alikuwa mgonjwa wa akili...Jamii forum FBI.
Said ameacha 'legacy' ya mwanaume kuwa na maamuzi magumu.
'We cry together.'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Legacy imepotea kwa yeye kujiua maana imeonekana alikuwa mgonjwa wa akili...Jamii forum FBI.
Said ameacha 'legacy' ya mwanaume kuwa na maamuzi magumu.
'We cry together.'
Usahihi ni SWALHA, SALHA ni kiswahili zaidiJina ni Salha sio Swalha,..msiharibu majina mazuri ya wanawake wazuri wa kiislam
Bongo mapenzi ni biasharaRip to all.Tujifunze kupenda kwa dhati si kwa kigezo cha mali au uzuri.
Sawa ngoja tuone huko kuzimu kama ataendelea kupenda pesa... na huyu mpenda kiki ya kuoa pisi kali naye tutaona maana bastola kaiacha huku [emoji23][emoji23]Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha.
Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Ndio ujinga wenyewe. Usiwekeze sana kwenye mapenzi utakuja kujuta baadae.Kwamba unamjengea mwanamke nyumba tatu zote za kazi gani?
Ukishakuwa na hasira forget about kuwa na plan... Hasira huwa ni kivuruge hasa utulivu wa akili...Alikua muoga ndiyo maana akajaribu kutoroka.
Alivyoona haiwezekani akaamua kujiua.
Jamaa ni muoga na mjinga.
Alishindwa hata kua na escape plan.
Umeona waoga balaaaUkisoma comments za watu humu utashangaa nchi hii tuko wapi? watu wana support tu mauaji kwa ajili ya mapenzi? Serikali ni lazima itunge sheria za kulinda wanawake na wanaume maana huko nyuma tumeona wanawake wanachoma wanaume na moto kisa mapenzi. Mimi nasema ni ushamba kuuwana kwa ajili ya mapenzi mtu kama hakupendi hakupendi tu tafuta wa kwako japo kuna maumivu kwenye process. Na ukisoma comments za watu humu ujuwe wengi hawajiamini na kama wanawatisha wake zao wakisoma humu. Kweli wanaume dhaifu sana pamoja na misuli yetu waoga sana kuachwa. Humu ni kama kila mtu anamtishia mkewe 😉
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]jamaa kaona Bora wakahukumiwe na Mungu.
kuna siku nilitaka kumbamiza kichwa ukutani mtoto wa watu.
Ila nilipokumbuka kuna maisha baada ya kutoka uraiani na kwenda jela nikawa mpole
Meli kabisa??? Au majahazi??... jamaa issues zake baharia; alikuwa na meli zake za uvuvi ziwani huko lazima alikuwa fit upstairs.
Majirani zake, marafiki, ndugu, mashoga wapo duniani au woootee nao wamekufa?? So wewe pita kimya acha anayetaka kuchangia achangie hivyo futa neno "tunachangiaje" na uweke "ninachangiaje" right?Tunachangiaje speculation? Wote ni marehemu nani tumuulize anayeweza kuwasiliana nao waliko? Kwangu si habari.
Unaakili wewe!!!Mwenye msiba ni mke mkubwa na watoto.
Hivi Itakuwaje Tukiwaza kuwa Ex wa Swalha ndo kawaua wote wawili na kwenda kumtupa Said Ziwani?
Kwani kama una mkwanja mrefu ni lazima ujenge? Si unanunua tuu nyumba kali milioni 80 au milioni 100?? [emoji12] [emoji12]Nilimsikia mama yake kama ndoa yenyewe ilikuwa na miezi mitano hivi, sasa huyo Saidi amejenga nyumba tatu na kununua gari mbili katika kipindi hicho kifupi?
Mbona haya mengine ni nyongeza isiyopimika akilini?
Wakati mwingine mwanaume anapata mwenye mapenzi ya kweli lakini wanakuja kuwaumiza . Mimi aliyekuwa mume wangu nilimpenda kwa dhati pamoja na kuwa alikuwa ana maisha ya chini. Tukafunga ndoa tukaishi vizuri tu miaka 3. Mwaka wa 4 akadanyika na mchepuko akawa anachelewa kurudi, mara apotee mwezi anakuambia yuko msata kwenye shughuli zake. Mbaya zaidi akadanganywa na kuniibia gari langu akabadilisha kadi ya gari na kwenda kuiuza mimi sina hata habari maana gari alikuwa anatumia yeye. Vituko vikawa vituko. Wala sikutaka ugomvi na yeye na huyo mwanamke, nikawaita familia pande 2 nikawaambia naondoka naenda kuanza maisha mapya. Nyumba naiacha na gari yangu ndio imeshauzwa hivyo wamenunua gari nyingine. Mungu alienipa mali hizi atanipa nyingine. Nikaenda zangu kupanga na kuanzz upya. Baada ya mimi kuondoka alipangisha nyumba akahamia huko na mchepuko. Baada ya miezi 3 wakagombana vibaya na mchepuko sababu hela zimeisha na michongo ya hela nayo imekata. Sasa hivi yupo tu maisha yamempiga . Sikutaka kurudiana naye tena maana niliona atazidi kuniharibia maisha.Hii mbinu huwa haileti matokeo chanya. Pesa itakusogezea malaya lukuki ila usitegemee kupata mwanamke wa kudumu kwa kumrubuni na pesa.
For disposable relations tumia pesa kupata utakacho ila for serious relationships tumia akili tu na utashi wako kushawishi mwanamke aelewe tu kuwa nini una maanisha pasipo kuegamia kweye intimidation ya pesa.
Na ndivyo upendo ulivyo siku zote....huwezi kupenda unapopendwa never...Nadhani alikuwa ana fosi upendo kitendo cha kusomesha kisha bibie akusaliti akaolewe na mwingine then apigike huko tena amrudie kwa hakika huyo marehem alipenda kwa dhati bahati mbaya mahali alipo penda Sipo.
Kumbe anamiliki mitumbwi ya dagaa na sangara... Maana mdau mmoja kadai jamaa alikuwa anamiliki Meli daahNachofahamu wavuvi haswa matajiri wanaomiliki mitumbwi ya dagaa Au sangara kwanzia 20 na kuendelea wanakuaga hatari sana hawa jamaa, wanakuaga na ukatili fulani ivi hata wanavyoendesha shughuli zao za uvuvi.
Hii inasababishwa sana na aina hiyo ya biashara wanayoifanya ukiwa legelege ndani ya mwezi mmoja tu unageuka masikini, wengi huwa ni wakorofi na kambi zao zinaogopeka hii huwasaidia kuepuka wizi wa fedha na Mali zao
Pia wanapenda sana maswala ya waganga, mganga anaweza kusikilizwa kuliko mke
"sisi" na nani jombaaa?? Hiyo ni "wewe" sawa??Bahati mbaya marehemu hayupo tena, pekee ndiye angeliweza kuweka bayana sababu ya kutwangwa risasi...
Sisi wengine acha tuendelee kula ugali, na tuachane na maishu ya kuwekeana vinyongo kwenye mapenzi...
Kweli kabisa Hamza apewe heshima yakeMsimfananishe hamza na vitu vya kijinga jaman kwel mnafanansha shujaa na mfia mapnz kwel[emoji23][emoji23]kwanz hamza alkuw na smg