Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Said alishindwa kugundua penzi la uongo, la huyo demu tapeli hivyo mapenzi yalikuwa ya kibabebabe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…