Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
- Thread starter
- #21
NakaziaMoney can't buy love.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaMoney can't buy love.
Jamaa kawa' inspire wanaume wa kanda ya ziwa na Tanzania kwa ujumla.marehemu Said hakutaka ujanja ujanja kwenye ndoa,yaani unapiga simu mara 42 haipokelewi halafu usipigwe risasi 7 who are you ?
Alikuwa muoga ndiyo maana akajaribu kutoroka.Jamii forum FBI.
Said ameacha 'legacy' ya mwanaume kuwa na maamuzi magumu.
Sasa wewe umeandika kipi tofauti na mleta uzi? Sometimes unapendaga kiki ambazo hazina maana.Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Atakuwa alikuwa mtabe wa hesabu.... kila missed call 6 malipo yake ni risasi 1! Dah; jamaa alikuwa mwamba kweli kweli.
Maamuzi magumu kwa kujiua..angemuacha huyo mwanamke bila kujali amemfanyia nini hapo angestahili hizo pongeziJamii forum FBI.
Said ameacha 'legacy' ya mwanaume kuwa na maamuzi magumu.
Kwanza yalivyo matamu..😁Watajuana wrnyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea
Ushawahi kukutwa na murder case?Alikua muoga ndiyo maana akajaribu kutoroka.
Alivyoona haiwezekani akaamua kujiua.
Jamaa ni muoga na mjinga.
Alishindwa hata kua na escape plan.
marehemu Said hakutaka ujanja ujanja kwenye ndoa,yaani unapiga simu mara 42 haipokelewi halafu usipigwe risasi 7 who are you ?
Kweli wewe ni mbumbumbu!Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Kuua ni maamuzi magumu, kama unaona rahisi nenda kafanye.Maamuzi magumu kwa kujiua..angemuacha huyo mwanamke bila kujali amemfanyia nini hapo angestahili hizo pongezi
Mkuu William anakuwa wa tatu kwenye hii rank... baada ya Al Hamza anafuata huyu mwamba!
Said alishindwa kugundua penzi la uongo, la huyo demu tapeli hivyo mapenzi yalikuwa ya kibabebabe tu!Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
... jamaa issues zake baharia; alikuwa na meli zake za uvuvi ziwani huko lazima alikuwa fit upstairs.atakuwa alikuwa mtabe wa hesabu