Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,386
- 1,919
Nmeshamjibu mpe million yake.Akikujibu hilo swali nidai millioni moja.
Si ndio maana utaona Sheikh anamiliki wake watatu wamenona na hana pesa lakini wametulia, huwa wanawainamisha, naijuwa hii sayansi.Alichokosea Said huwezi ukawa na dubwasha tamu kama lile halafu uishi nalo bila kututafuta wazee kama sisi ili Kumuepusha na Macho ya Husda, Kumkalisha, Kumtuliza na Kumtia Upofu wa Nafsi
Kama kuna mtu anapitia changamoto kama za Saidi pleaaaaase aje inbox tumfanyie maarifa.
This is REAL, hivi vitu vipo na ndio maisha yetu. Ignore them at your own risk
Regards
Amekuuliza utaratibu wa kurithi silaha ukoje?Nmeshamjibu mpe million yake.
Hahahaha jamaa huo uamuzi wako sio poa......! Ila si ungezungumza nae kwanza uonyeshe msimamo wakoWanawake ni watu wa ajabu sana. Mimi wa kwangu nilivyoona ananiletea vitimbwi vya kutoka jioni saa moja anarudi usiku saa tano Anakuta nimeshapikia watoto na kuwalisha na yeye anachukua chakula nilichopika anakula nikajua hapa tunapoelekea kutakuwa pabaya zaidi
Nikamuambia nimebadilishwa kituo changu cha kazi
Akaniuliza wapi? Nikamuambia sijajua nitakuambia nikishafika
Nikaweka nguo kwenye begi nikatupia kwenye gari yangu nikaondoka nikanunua simu ya nikamuelekeza mtoto wangu mkubwa akachukue kwenye duka flani hivi Ili niwe natuma pesa hapo via Airtel money
Mpaka Leo hii hapa
Nilim-block sikutaka hata kusikia sauti yake nikaenda nikapanga nyumba nikaanza maisha mapya
Nikawaelekeza watoto home wanakuja Kila week end wanakaa nawapeleka out wanafurahi jumatatu jumapili jioni nawarudisha shuleni
Ndio imeisha hivyo
Usiongeze tatizo juu ya tatizo. Wana laana hawa watu. Ametoka kwao masikini wa kutupwa amejimilikisha mjengo kirahisi kabisa. Na ndio wanavyofanya siku hizi akishaona mafanikio
Ndio nmekwambia nimeshamjibu.... ila unanifurahisha sana mkuu, yani unanibishia kwa kitu ambacho ninacho!Amekuuliza utaratibu wa kurithi silaha ukoje?
Hebu jibu hapa hata wewe millioni itakuhusu ukiweza kujibu swali hili, kumbuka njia ya muongo ni fupi.
Shikamoo mapenzi !!!...huku ameshamjengea nyumba 3! Dah; omba Mungu yasikukute; tusimcheke Said.
William yupi
Mkuu mbona hili la umri mama zetu zamani ndio walikuwa wanawahi kuzaa kuliko hata sasa. Unakuta mwanamke anaolewa/kuzaa akiwa na umri mdogo, kwa hyo ni kawaida mama na mwanae wa kwanza kufanana....Nyinyi Wenzetu mmewazoesha vipi Wakwe zenu kiasi anaweza kuendea Hewani na kusema Shombo???
Mimi Zaidi ya Kusalimiana Kwa Heshima, hakuna Cha Zaidi!
Na akiniona nimekaa Sebuleni Anatenda kukaa jikoni na Mwanawe!!
Ndio Wakwe zetu hao wa Kizamani wanaojua Nafasi Yao!
Hawa Wenu wa Kislku hizi ambao Mkwe anakaribiana na Mwanae, Mkeo, kiumri, Shida Tupu!!
Kula jicho sio sababu mkuu๐๐๐ masheikh ni swala zao tu na pia wamewa shape wake zao kuwa waoga na matendo machafu na pia unakuta wake wote swala 5.Si ndio maana utaona Sheikh anamiliki wake watatu wamenona na hana pesa lakini wametulia, huwa wanawainamisha, naijuwa hii sayansi.
Ni wapi nimesema wanawala tigo? Kuwainamisha ni kuwafanya waangalie chini wasione mbele, wewe itakuwa mtu wa bara, njoo pwani ujifunze nahau za kiswahili.Kula jicho sio sababu mkuu๐๐๐ masheikh ni swala zao tu na pia wamewa shape wake zao kuwa waoga na matendo machafu na pia unakuta wake wote swala 5.
Mbona majangiri wana AK 47 kabisa? Jibu swali usihamishe magoli, umeulizwa utaratibu wa kurithi silaha ukoje? jibu hili swali usitutowe kwenye mstari.Ndio nmekwambia nimeshamjibu.... ila unanifurahisha sana mkuu, yani unanibishia kwa kitu ambacho ninacho!
Mzee basi mie nisafishe nyota maana naona wanawake wote wa jf wananikataaalakini wana matako hao...nafanyaje na mie nataka kuwageggeda? Nwafanye basi wasione aura yangu personalAlichokosea Said huwezi ukawa na dubwasha tamu kama lile halafu uishi nalo bila kututafuta wazee kama sisi ili Kumuepusha na Macho ya Husda, Kumkalisha, Kumtuliza na Kumtia Upofu wa Nafsi
Kama kuna mtu anapitia changamoto kama za Saidi pleaaaaase aje inbox tumfanyie maarifa.
This is REAL, hivi vitu vipo na ndio maisha yetu. Ignore them at your own risk
Regards
Towa hela mkuu, kinyume chake mademu wazuri utaishia kuwaita mashemeji tu, no money no honey.Mzee basi mie nisafishe nyota maana naona wanawake wote wa jf wananikataaalakini wana matako hao...nafanyaje na mie nataka kuwageggeda? Nwafanye basi wasione aura yangu personal
Wewe hawa wa jf kuonana tuu wanakwambia nauli laki....sasa unashangaa nauli laki nikiomba mbususu sii itakuwa laki tatuTowa hela mkuu, kinyume chake mademu wazuri utaishia kuwaita mashemeji tu, no money no honey.
Mkishafunga ndoa pale, kabla bwana harusi hajamfunua Bibi harusi huwa anamshika utosini kuna dua anaisoma, tatizo wengi huwa na kimuhemuhe hawaisomi vizuri au wengine hawaisomi kabisa.Alichokosea Said huwezi ukawa na dubwasha tamu kama lile halafu uishi nalo bila kututafuta wazee kama sisi ili Kumuepusha na Macho ya Husda, Kumkalisha, Kumtuliza na Kumtia Upofu wa Nafsi
Kama kuna mtu anapitia changamoto kama za Saidi pleaaaaase aje inbox tumfanyie maarifa.
This is REAL, hivi vitu vipo na ndio maisha yetu. Ignore them at your own risk
Regards