Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Alichokosea Said huwezi ukawa na dubwasha tamu kama lile halafu uishi nalo bila kututafuta wazee kama sisi ili Kumuepusha na Macho ya Husda, Kumkalisha, Kumtuliza na Kumtia Upofu wa Nafsi
Kama kuna mtu anapitia changamoto kama za Saidi pleaaaaase aje inbox tumfanyie maarifa.

This is REAL, hivi vitu vipo na ndio maisha yetu. Ignore them at your own risk

Regards
 
Si ndio maana utaona Sheikh anamiliki wake watatu wamenona na hana pesa lakini wametulia, huwa wanawainamisha, naijuwa hii sayansi.
 
Mwanaume unampigiaje mwanamke missed call zaidi ya 40? Huyu jamaa alikua mjinga sana
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana. Mimi wa kwangu nilivyoona ananiletea vitimbwi vya kutoka jioni saa moja anarudi usiku saa tano Anakuta nimeshapikia watoto na kuwalisha na yeye anachukua chakula nilichopika anakula nikajua hapa tunapoelekea kutakuwa pabaya zaidi

Nikamuambia nimebadilishwa kituo changu cha kazi
Akaniuliza wapi? Nikamuambia sijajua nitakuambia nikishafika
Nikaweka nguo kwenye begi nikatupia kwenye gari yangu nikaondoka nikanunua simu ya nikamuelekeza mtoto wangu mkubwa akachukue kwenye duka flani hivi Ili niwe natuma pesa hapo via Airtel money
Mpaka Leo hii hapa
Nilim-block sikutaka hata kusikia sauti yake nikaenda nikapanga nyumba nikaanza maisha mapya
Nikawaelekeza watoto home wanakuja Kila week end wanakaa nawapeleka out wanafurahi jumatatu jumapili jioni nawarudisha shuleni
Ndio imeisha hivyo
Usiongeze tatizo juu ya tatizo. Wana laana hawa watu. Ametoka kwao masikini wa kutupwa amejimilikisha mjengo kirahisi kabisa. Na ndio wanavyofanya siku hizi akishaona mafanikio
Hahahaha jamaa huo uamuzi wako sio poa......! Ila si ungezungumza nae kwanza uonyeshe msimamo wako
 
Amekuuliza utaratibu wa kurithi silaha ukoje?

Hebu jibu hapa hata wewe millioni itakuhusu ukiweza kujibu swali hili, kumbuka njia ya muongo ni fupi.
Ndio nmekwambia nimeshamjibu.... ila unanifurahisha sana mkuu, yani unanibishia kwa kitu ambacho ninacho!
 
jamaa hakutizama ulimwengu kuna pisi kali nyingi sana angemwacha kuliko kufa kishamba hivyo sasa amepata faida gani...
 
...Nyinyi Wenzetu mmewazoesha vipi Wakwe zenu kiasi anaweza kuendea Hewani na kusema Shombo???
Mimi Zaidi ya Kusalimiana Kwa Heshima, hakuna Cha Zaidi!
Na akiniona nimekaa Sebuleni Anatenda kukaa jikoni na Mwanawe!!
Ndio Wakwe zetu hao wa Kizamani wanaojua Nafasi Yao!
Hawa Wenu wa Kislku hizi ambao Mkwe anakaribiana na Mwanae, Mkeo, kiumri, Shida Tupu!!
Mkuu mbona hili la umri mama zetu zamani ndio walikuwa wanawahi kuzaa kuliko hata sasa. Unakuta mwanamke anaolewa/kuzaa akiwa na umri mdogo, kwa hyo ni kawaida mama na mwanae wa kwanza kufanana.
 
Si ndio maana utaona Sheikh anamiliki wake watatu wamenona na hana pesa lakini wametulia, huwa wanawainamisha, naijuwa hii sayansi.
Kula jicho sio sababu mkuu😄😄😄 masheikh ni swala zao tu na pia wamewa shape wake zao kuwa waoga na matendo machafu na pia unakuta wake wote swala 5.
 
Ni wapi nimesema wanawala tigo? Kuwainamisha ni kuwafanya waangalie chini wasione mbele, wewe itakuwa mtu wa bara, njoo pwani ujifunze nahau za kiswahili.
 
Ndio nmekwambia nimeshamjibu.... ila unanifurahisha sana mkuu, yani unanibishia kwa kitu ambacho ninacho!
Mbona majangiri wana AK 47 kabisa? Jibu swali usihamishe magoli, umeulizwa utaratibu wa kurithi silaha ukoje? jibu hili swali usitutowe kwenye mstari.
 
Alichokosea Said huwezi ukawa na dubwasha tamu kama lile halafu uishi nalo bila kututafuta wazee kama sisi ili Kumuepusha na Macho ya Husda, Kumkalisha, Kumtuliza na Kumtia Upofu wa Nafsi
Kama kuna mtu anapitia changamoto kama za Saidi pleaaaaase aje inbox tumfanyie maarifa.

This is REAL, hivi vitu vipo na ndio maisha yetu. Ignore them at your own risk

Regards
Mzee basi mie nisafishe nyota maana naona wanawake wote wa jf wananikataaalakini wana matako hao...nafanyaje na mie nataka kuwageggeda? Nwafanye basi wasione aura yangu personal
 
Towa hela mkuu, kinyume chake mademu wazuri utaishia kuwaita mashemeji tu, no money no honey.
 
Alichokosea Said huwezi ukawa na dubwasha tamu kama lile halafu uishi nalo bila kututafuta wazee kama sisi ili Kumuepusha na Macho ya Husda, Kumkalisha, Kumtuliza na Kumtia Upofu wa Nafsi
Kama kuna mtu anapitia changamoto kama za Saidi pleaaaaase aje inbox tumfanyie maarifa.

This is REAL, hivi vitu vipo na ndio maisha yetu. Ignore them at your own risk

Regards
Mkishafunga ndoa pale, kabla bwana harusi hajamfunua Bibi harusi huwa anamshika utosini kuna dua anaisoma, tatizo wengi huwa na kimuhemuhe hawaisomi vizuri au wengine hawaisomi kabisa.
 
Back
Top Bottom