Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

... huyu alikuwa amefunikwa na uvuli wa roho kali sana ya mauti! Wala asilaumiwe; kulikuwa nguvu za mauti za kutisha nyuma yake.
 
Aaaahhh kudadadeki kweli hapo njemba iliyumba kukubali kurudiana na huyo shetwaaiin wahed.


Ndio maana basi akamchapa shaba saba asee sio kwa ufara huo. Hata mimi ningefanya maamuzi magumu. Ningemnyang'anya kila kitu mpaka chupi nilionunua.
Nadhani alikuwa ana fosi upendo kitendo cha kusomesha kisha bibie akusaliti akaolewe na mwingine then apigike huko tena amrudie kwa hakika huyo marehem alipenda kwa dhati bahati mbaya mahali alipo penda Sipo.
 
It is hard. To contain it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…