mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,002
- 1,891
Ongezea magari mawili na saloon.Nyumba 3 Ndani ya miezi 5!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea magari mawili na saloon.Nyumba 3 Ndani ya miezi 5!
[emoji16][emoji16]atakuwa alikuwa mtabe wa hesabu
... huyu alikuwa amefunikwa na uvuli wa roho kali sana ya mauti! Wala asilaumiwe; kulikuwa nguvu za mauti za kutisha nyuma yake.Nasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshindwa akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo.
Kweli ni maamuzi magumu, maana unaoa pale usipopendwa, unategemea pesa zako, kama sio wazimu ni nini?Jamii forum FBI.
Said ameacha 'legacy' ya mwanaume kuwa na maamuzi magumu.
Nadhani alikuwa ana fosi upendo kitendo cha kusomesha kisha bibie akusaliti akaolewe na mwingine then apigike huko tena amrudie kwa hakika huyo marehem alipenda kwa dhati bahati mbaya mahali alipo penda Sipo.Aaaahhh kudadadeki kweli hapo njemba iliyumba kukubali kurudiana na huyo shetwaaiin wahed.
Ndio maana basi akamchapa shaba saba asee sio kwa ufara huo. Hata mimi ningefanya maamuzi magumu. Ningemnyang'anya kila kitu mpaka chupi nilionunua.
Nyanda za juu kusini shujaa wetu nani.Kabisa, Hamza kwa ukanda wa Pwani na viunga vyake na Said kwa upande wa kanda ya ziwa.
Hahaaa...duh noma kweli kweli.Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] ouch ouchjamaa kaona Bora wakahukumiwe na Mungu.
kuna siku nilitaka kumbamiza kichwa ukutani mtoto wa watu.
Ila nilipokumbuka kuna maisha baada ya kutoka uraiani na kwenda jela nikawa mpole
Hapana ila nimezisomaUshawahi kukutwa na murder case?
Hamza ni shujaa, huyo Said ni wa mchongo!... baada ya Al Hamza anafuata huyu mwamba!
Ukioa muuza bar jua umeolea watu, pili ukiskiza mama wa marehemu utaona kuna mengi ameficha...Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
It is hard. To contain it!Nasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshindwa akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo ambaye ndiye aliyekuwa nae kwenye mpira huku mumewe kamuacha nyumbani,Ndipo wambea wakampigia simu kwamba mkeo yuko huku na ex wake.
Mdude nyagaliNyanda za juu kusin shujaa wetu nan
Ukioa muuza bar jua umeolea watu, pili ukiskiza mama wa marehemu utaona kuna mengi ameficha...Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
... nyie mbona wakongwe wa toka enzi? Mnaye shujaa Said Mamwindi! Hakutakaga ujinga yule kiumbe.Nyanda za juu kusin shujaa wetu nan
MkuryaAnayejua history ya Said ikiwemo kabila lake atujuze
Kuna vitu alikuwa anaficha yule Mama hata wadogo zake maelezo yao yanapishana.Ukioa muuza bar jua umeolea watu,pili ukiskiza mama wa marehemu utaona kuna mengi ameficha...
Inaonesha alivyo mtupu kichwani. Jenga taratibu, angalau huyo unayejaribu kumrubuni atulie akisubiri nyumba ikamilike, yuko ndani ya himaya yako, haraka za nini?Nyumba 3 Ndani ya miezi 5!