Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

صلح
To be righteous
To be good
To be perfect condition
To be honest
To be upright
Neno moja kwa maneno yate.
ni Virtuous,..

Good moral values

Je Swalha maana.yake nini??
 
Kama ni kweli unamiliki silaha elewa kwamba silaha hazibadirishwi kama chupi au simu za Iphone kila toleo ikitoka unanunuwa tu na kuweka line na kuitumia, haiko hivyo msidanganyane na kupotosha watu.

Ukinunuwa silaha mpya unaanza mchakato upya kuanzia Serikali ya mtaa, kata, signature ya Ocd, kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha wilaya, cha mkoa then HQ CAR.

Kwa muda mfupi zaidi huu ni mchakato si chini ya mwaka mmoja, sasa wewe nenda kanunuwe silaha mpya itaendelea kukaa hapo Tanganyika Arms au Mzinga JWTZ upanga mpaka utimize huo mchakato uende na kitabu na risiti yako ndio unapewa hiyo silaha.

Silaha siyo Samsung Note 10 au Iphone pro max, maana naona mnadanganyana tu hapa.

Kuna waliofanikiwa kupata license kwa njia za rushwa na kukata short cut ni kipindi hicho sasa hivi hakuna hicho kitu utafuata procedure nilizokueleza hapo.
Mkuu huo mbona utaratibu wa kawaida sana, unatambulika, kutokana na mahitaji yangu, nahitaji sasa bastola kisasa, kuanzia ukubwa, speed nk.

Huku Tz wanaruhusu kufunga SILENCER/SOUND MODERATOR kwenye Bastola??

Natamani sana iwe hivyo, wakati nipo South ilikuwa baridi tu, maana kule ni vichwa maji sana.
 
Nimekuuliza unafahamu taratibu za kumiliki silaha kisheria?

Na hakuna urithi katika silaha inaonekana huna unachokielewa, mmiliki wa silaha anapofariki silaha inapaswa kupelekwa Polisi kuhifadhiwa Amar mpaka mnunuzi au muomba maombi ya kuimiliki atakapopata fire Army licence na kupeleka kitabu cha CAR kituo cha Polisi kwenye Amar ndio unakabidhiwa hiyo silaha, ni nani alikudanganya silaha ya moto ni sehemu ya mali za urithi?
Wewe endelea kukariri mistari mnayofundishwa ila mie ndio ninazo na ninazimiliki kihalali sasa.... nimekwambia au nimeandika kuwa mmiliki wa kwanza alifariki?
 
Usije kuulia mtu makusudi hayo mavitu yenu mnayomiliki.

Maana huwa mnajiona miungu watu mkiwa nayo makitu
Ukifanya maksudi lazima ikugharimu mkuu.... japokuwa kuna muda inabidi ujikaze sana kihisia.
 
Mimi nilidhanigi ukiwa na pesa unapendwa tu ..kumbe unaweza kkwa nazo na bado ukateswa na mapenzi[emoji15][emoji15][emoji134]
Kiruuu...kiboo Cha mbesiii



Nazani wale wanasemaga tafuta hela wameshapata Habari yao kupitia matukio mbalimbali ya kufanana na hilo
 
Wanawake ni mashetani,nukuu toka kwenye maandiko matakatifu
 
Kuna demu mmoja pisi kali wa kizenji nlikua naye miaka ya nyuma Zenji kuna siku kaja gheto akaanza kuniletea drama za kunisifia baadae akachomekea mdogo anaumwa kwa hiyo hatokuja atalala naye kwake, machale yaka ncheza kwa zile sifa alizonimwagia, nikaamka mida kama ya 5 usiku nikamnyatia hadi kwake dirishani nikamchungulia nikakuta kavaa night dress na bikini anaangalia bongo star search, akapokea simu ya njemba inakuja inataka ifungiliwe geti izame mi nikabonyea jamaa kaja mpaka mlangoni geti likafunguliwa akazama nikarudi tena dirishani nikamchek jamaa kakaa kitandani anaomba maji aoge dah nikasema huyu kum ..a kumbe ndio mishe zake mapigo ya moyo yalienda mbio nikatamani kuzikunja nondo ni zame ndani.... nikaona nikiondoka bila kumstua kua nimeona kila kitu kesho atakataa nikamwita akaitika nikamwambia nimekuja kumwona mgonjwa akakimbilia getini akaniambia mgonjwa amelala nikamwambia acha ukum..a nimeona kila kuanzia kesho tusitafutane nikasepa..cha ajabu yule mzenji akawa bado analilia anaomba msamaha nikaona sio issue huyu ngoja nimchukulie kama malaya nikaanza kumla tako akazidisha wivu nika wabandua shoga zake wanne lkn wapi haniachi akanipa mln 3.5 ni mnunulie kiwanja ili awe karibu namie hadi leo nikimuhitaji anakuja namfanya matusi anasepa hawa mademu sio kuwa nao serious sana utaua au kujiua bure
Uyu alikua Malaya WA kibongo wanaenda ZENJI kuuza wacha uboya
Na ungeenda mitaa ya wajanja wakizenji wangekujamata unachungulia ungef**a mpk ukatapika Makande nyau
 
Nikuulize wewe unaefurahisha genge, nina Marker4 na Shotgun niliyorithishwa na mzee wangu kihalali kabisa na pia nina Beretta Pxs niliyoinunua kwa pesa yangu pale Tanganyika arms. Na vyote vipo kihalali hadi hati safi ninayo.
Mkuu ningependa kufahamu utaratibu wa kurithi moto?
 
Habari za ndani kabisa zinasema:

1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa

2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID

3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.

4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.

5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake.

CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG

Pia soma >
Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI
Hizo ni habari za uzushi tu.Kama huyo mume wa kwanza hakuwa na pesa Mbona ,alishawahi kumununulia Swala Prado?Mm nafikiri siri ya kutoelewana,wanaijua wao .
 
Kuna staged killings, muuaji anaua mmoja then anaondoka na mwingine na kummulia mbali kisha scenarior inaonekana mume kammaliza mke.
DUNIA INA MENGI MAMBO
 
JamiiForums1675508977.jpg
 
Back
Top Bottom