Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

Na jpili kuna kusimikwa Askofu mpya wa Jimbo kuu la Mwanza,lkn utaona wako mbele wanaomba waombewe!!!!!
 
Na kama kweli yuko chini ya jeshi tena kapelekwa Dar, Bas paleeeee Tazara kuna kituo kipo ndani ndani pale, ni hatari
 
Mbona mambo yanakuwa rahisi hivi. Na taarifa za tetetesi nyingi . Je logically sio rahisi zaidi kwa mtoa tetesi za kila hatua kuwa MHUSIKA MKUU.
 
sasa hyo sio classified tena kwann wasifuatilie kmya wakushapata uhakika ndio watoe report yenye ushahidi.?
 
hili pekee linatosha kuingiza watu barabaran sitegemei kusikia kiongozi wa upinzani akilalamika bungeni au kwenye mitandao. mnataka awafanyie nn ili mjue hana nia nzur na upinzani? anawashinda hata boby wine mtt mdogo yule?
 
Kajiteka
 
Ukimya wa watanzania ndio chanzo cha hawa wuuni wa awamu ya tano kutudharau.

Ni kweli hatuna bunduki wala bomu la.kupambana nao, lakini kama.kweli ni hinadmu.mwemye dhamira njema na uchungu wa uhai wa hinadamu mwemzako basi utakemea japo kwa maneno, kama huwezi kwa vitendo.
 
Maandamamano ya kufa mtu kama Algeria mambo ya kutekana yaishe! Mimi nipo tayari kwa maandamano!
 
Dah! kama ni kweli kamanda mdude yupo kwenye hali mbaya bora Muumba amchukue akapumzike kwa amani kwa kumpunguzia maumivu anayoyapata,ila aluta continua.
 
Kwa miposti yake alotupia mtandaoni anastahili kuwa katika hiyo hali.

Hatuwezi kuwa na taifa la watovu wa nidhamu na washenzi
 
Kuna thread iliwahi kuletwa kuwa yule Mwenyekiti mruka dhamana alipokuwa ndani, hali likuwa shwari. Na ikasema, kwakuwa ametoka sasa utekaji utaanza punde! There's no coincidence in intelligence!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…