Basi ni halali huyu jamaa akinywee....wacha wambinye mapumbu huko aliko akirud akli itakuwa imemkaa sawaMkuu kwa akili yako haya sio matusi?
Hivi haya maneno ukimuambia mtu unatarajia atafurahia au atachukia?
View attachment 1090137
Ndugu na familia yake walishamchokaFamilia ya Mdude wana kila sababu na haki ya kuandamana mpaka Wizara ya mambo ya ndani kuulizia uwepo wa ndugu yao. Na sisi tutawaunga mkono all the way!
They have nothing to loose. If anything they have more to gain than otherwise. They could be history in the making!
Kweli mkuu, umeeleza kama professor kabisa, na laana hizi kwakuwa haw watu hwawambii ndugu zao, zinatafuna sana, watacua, watachuma mamilioni lakini watu wengine watakuja kula hizo hela, DAMU SI MAJI, HAIENI HIVI HIVI, hata Yesu damunyake ndio imekuwa ukombozi kwa waislamu na wakristo kwa pamoja. kwa sisi waislamumtunamwit a issa bin mariam
hayo ni matusi tena ya nguoni yaani bhuyu kijana hafai kuhurumiwa kabisa
Watu huenda kanisani kwa hofu ya shetani, si hofu ya Mungu. Wanaenda kuomba awalinde na kutubu dhambi walizitenda. Wanasahau kuwa shetani ana nguvu, kuepa hilo Mungu alimsukumiza duniani.Ilitakiwa ushahidi uwekwe,hali ikiwa mbaya na wakashindwa kucontrol wanapoteza ushahidi!!
Halafu tuna watu kila week za ibada wako mstari wa mbele wakijifanya wapenda haki na wanahofu ya Mungu!!!
laana tunaitafuta wenyewe fikiria mtu mdogo hivyo anatukana mamlaka ambayo imewekwa kihalali ambayo hata mungu alisema tuziheshimu mamalaka acha apumzike alipojitafutiaNi mtazamo wako,basi tuendelee kupata mapigo toka Kwa Mwenyezi Mungu ya laana juu ya damu zimwagikazo.Na tusimtafute mchawi wa kubuma Kwa mambo yetu maana palipo Na laana Baraka uondoka.
Yeye kutukana mtandaoni anakuwa amekeuka katiba au hajakeuka?Katiba Na Sheria usemaje juu ya hayo? PILI vipi upande wa PILI wanaowatusi Na hata kuwatishia wengine MBONA awatekwi?
Ila pamoja na kupotea kwake lakini huyu jamaa alikua na matusi sana sio kwa kutukana vile kiongozi wa nchi, leo nimeona moja ya post zake inahusu IMF duuuuh sidhani kama alienda jando huyu kijana.
hivialichokiandiaka kuhusu ripot ya imf umeona ? siyo matusi hay? huyo hafai hata kutekwa ni wakukamatwa laivu na kushitakiwa kizibiti kipoKama kweli alimtukana mtu si angefungwa kama Sugu? Mbona kesi mbili kashinda?
lamaKama kweli alimtukana mtu si angefungwa kama Sugu? Mbona kesi mbili kashinda?
Yeye kutukana mtandaoni anakuwa amekeuka katiba au hajakeuka?
Katiba inakubali mtu atukane?
haya ni baadhi ya matusi ya huyu pimbi. acha abinywe p.mb..u ipasavyolama
hili siyo tusi?
Baki hukohuko bana, mdude ndio nani?Kama ni matusi Sheria usemaje,haya mambo yanabackfire lkn, kwani kikombe mlichowapimia wwenzenu ndicho mtakachopimiwa.
Baki hukohuko bana, mdude ndio nani?
atachakaahaya ni baadhi ya matusi ya huyu pimbi. acha abinywe p.mb..u ipasavyo
yawezekana wewe ndo huna akili na hujui dunia inaendaje? vyanzo vya mapinduzi duniani na maana yake? unayakumbuka yale ya Tunisia? chanzo kilikuwa nn? sio mdude tu kw taarifa yako kule MKIRU watu wwmepotea wazima mpaka leo hawajulikani walipo aliyetaka kufichua ANZORY GWANDA WAJUA ALIPO?Wakuingia barabarani ni nani? Yaani kweli watu waandamane kisa mdude????? Huna akili, labda huko bavichaa
Sijasema kama aliyeteka ni kiongozi wa Nchi kwa sababu sina ushahidi huo.
Lakini kwa mtu mwenye akili timamu anajua kwamba kutukana ni jambo ambalo hakuna ambae amgependa kufanyiwa.
Raisi ni mtu mkubwa sana sio wa kumshusha hadhi namna hiyo,hata kama ikatokea ana mapungufu lakini sio sawa kumtukana matusi ya nguoni.
Kama raisi hatakiwi kuna na roho nyepsei hivyo kwa kuwa ataumiza wengi sawa lakini je matusi yanakubalika na ni katika tamaduni zetu watanzania kutukana mamna ile tena unamtukana mkuu wa nchi?