{Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

{Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

Huku mwanamke usipo mpiga yeye mwenyewe anaona hapendwi ukipitisha wiki bila kumpiga mikanda mwezio anaweza hata akatia chumvi kwenye chai kusudi ili apate kichapo
Hakuna ukweli katika hilo.Umejengewa na ukaijenga imani hiyo tu.Kama kipigo ni raha,basi wanawake wa kinyakyusa na midomo/ujuaji wao wangeongoza kwa kipigo.
 
Ila Jamaa atakuwa wa Mkoani huyu,Wa Dar es Salaam ungetuka maneno mengi na mke naye anavutana.All ni all huu ni ujinga tu huyu jamaa atafutwe ashughulikiwe na yeye bakora za kumtosha ingawa wanawake nao kuna wakati kuishi nao kunahitaji uvumilivu wa kiwango 5G.Ila huu ni ukatili wa kijinsia
 
Pale watu wawili wenye changamoto ya afya ya akili wanapopendana.

Ziada : Kijana ni kama anatatizo la akili plus nguvu za kiume, tatizo la kutatuliwa na upande wa kanga anatumia fimbo
 
Sidhani kama ni mke wake, na kama ni mke wake basi jamaa amebahatisha sana.

Kwa navyowajua wanawake wa sikuizi ni ngumu kukutegea mkono umchape kizembe namna hiyo, tena mbele za watu kama hivyo.
 
Usikute mwamba ametoka kubeba zege kutwa nzima, anarudi nyumbani amechoka! Halafu anakuta hakuna kilichopikwa! Bibiye alikuwa kwenye "shughuli"

Hapo mwanaume lazima uvurugwe.
 
Sijaangalia hiy video na sitaki lakini tukitangaza ukombozi wa mwanamke tunaitwa feminists na majina mengine lakini haya ndio tusiyoyataka, mwanamke yoyote anayejitambua hawezi kukubali kunyanyaswa na kudhalilishwa
 
Back
Top Bottom