{Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

{Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

Yanakuhusu ,kila sehemu wana mila zao..Kama unamlisha nenda kapeleke shobo zako.
Wewe una akili timamu kweli? Mila zote za kipuuzi haziruhusiwi katika nchi hii na ni kosa kumuadhibu mwanamke kwa mtindo huo.

Na kama unataka kujua wewe ni mpuuzi na mjinga usiyejitambua subiri huyu kima mwenzako atiwe mbaroni kwa unyanyasaji wa kijinsia halafu utoke hadharani kumtetea uone nini kinafuata.
 
Sijaangalia hiy video na sitaki lakini tukitangaza ukombozi wa mwanamke tunaitwa feminists na majina mengine lakini haya ndio tusiyoyataka, mwanamke yoyote anayejitambua hawezi kukubali kunyanyaswa na kudhalilishwa
Mimi ni mwanaume lakini kitendo alichokifanya huyu mpumbavu kumdhalilisha mwanamke namna hii hapana aise.

Kama kuna kosa analiona ni kubwa basi bora kila mtu ale kona zake lakini sio kumtembezea kipigo namna hiyo.
 
Sasa ujinga kama huu ndiyo wananchi na mashirika ya kutetea haki za binadamu vinapinga kwa nguvu zote kuanzia mashuleni hadi majumbani.

Huu ujinga mara nyingi hufanywa na walimu wapumbavu wasiojia mipaka ya kazi zao wala sheria na kanuni zinazowaongoza mwisho wake wakiishia kwenye mikono ya sheria wanaanza kutia huruma.
 
Serikali isipochukua hatua hili suala itakuwa umekosea saana
 
Sio mke wake ,ni mdogo wake huenda Kuna sehemu amekosea anajaribu kumrudi.


By the way mbona jamaa kazingatia kanuni za kuchapa mtoto wa kike,sijaona tatizo hapo
 
KILIMANJARO
Kilimanjaro ya wachaga wapare na maasai au Kiiimanjaro nyingine?

Kama ni hiyo ya wachagga basi elewa kwamba ina mambo mengi ya kijinga jinga na ya kishamba kama ilivyo mikoa mingine yote ya Tanzania.
 
Kilimanjaro ya wachaga wapare na maasai au Kiiimanjaro nyingine?

Kama ni hiyo ya wachagga basi elewa kwamba ina mambo mengi ya kijinga jinga na ya kishamba kama ilivyo mikoa mingine yote ya Tanzania.
Kaskazini hawatoki washamba
 
Kama ni Musoma huko bc fresh tuu, c nasikia wanawake wa huko wasipopigwa na waume zao hawaoni kama wanapendwa.

win-one ni kweli ety? 😎
 
Back
Top Bottom