{Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

{Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

Huyu achukuliwe hatua mapema, tukimchekea huyu kuna siku atamchinja mkewee
 
Jamani mwenye video za mwanaume akiwa anachapwa na mke wake wekeni hapa mzani ubalance, naona fifty- fifty wameisahau wanataka huruma tena!
 
Wewe una akili timamu kweli? Mila zote za kipuuzi haziruhusiwi katika nchi hii na ni kosa kumuadhibu mwanamke kwa mtindo huo.

Na kama unataka kujua wewe ni mpuuzi na mjinga usiyejitambua subiri huyu kima mwenzako atiwe mbaroni kwa unyanyasaji wa kijinsia halafu utoke hadharani kumtetea uone nini kinafuata.
Unajidanganya mzee ,hizo mila zipo ..Wew ndiye mpuuzi tena una tabia za kike ,lazima mtu akanywe .

Huawezi kesi za nyumbani kwako upeleke polisi ,we mshamba kwa vile wa kike ngoja nikuache.
 
Back
Top Bottom