Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Ooh sawa mkuu Bora tukimbilie fursaNdiyo mkuu
Ooh sawa mkuu Bora tukimbilie fursaNdiyo mkuu
Kama Dalali ndiyo kakwambia basi anataka kukujaza ili ununue kiwanja/shamba maeneo ya huko.Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
Kama hivyo sawa.Hiyo ni parking ya magari mkuu sio malori tu yaani gari lolote ukiwa huna pa kulilaza unapeleka pale halafu unatoa pesa nilivyosikia inajengwa hoteli na super makert kubwa kama na fremu za biashara ndogo ndogo
Ni hivyo yaani kama una gari lako huna pa kupark unapeleka pale halafu unalipiaKama hivyo sawa.
Sikuelewa vizuri taarifa.
Huna unalojuaNiko hapa misugusugu live. Hamna huo mradi. Nisiandike sana. Ila fursa misugusugu haziishi. Ntaambatanisha picha hapa baada ya muda.
Sio dalali ni jamaa yangu anaishi maeneo hayoKama Dalali ndiyo kakwambia basi anataka kukujaza ili ununue kiwanja/shamba maeneo ya huko.
Update, ni kweli kuna ujenzi wa parking na supermarket pale shule. Na ujenzi ushaanza .Niko hapa misugusugu live. Hamna huo mradi. Nisiandike sana. Ila fursa misugusugu haziishi. Ntaambatanisha picha hapa baada ya muda.
Mkuu we si umesema hamna huo mradiUpdate, ni kweli kuna ujenzi wa parking na supermarket pale shule. Na ujenzi ushaanza .
Kama unapajua hapo utajua nipo wapiHuna unalojua
Nilisema nakuja na update.Mkuu we si umesema hamna huo mradi
Sawa ila nasikia bado ujenzi haujaanza ila kumesafishwa tu he ni kweli itakua hoteli na supermarketNilisema nakuja na update.
Ndio kutakua na hotel, supermarket pamoja na parking ya gari aina zote. Nadhani wamelenga sana IT zile na lori za transit. Na cargo kutoka viwandani.Sawa ila nasikia bado ujenzi haujaanza ila kumesafishwa tu he ni kweli itakua hoteli na supermarket
Vipi dondoo kitakua na fremu za wafanya biasharaNdio kutakua na hotel, supermarket pamoja na parking ya gari aina zote. Nadhani wamelenga sana IT zile na lori za transit. Na cargo kutoka viwandani.
Hilo sijalipata bado boss.Vipi dondoo kitakua na fremu za wafanya biashara
Sawa je ulivyosikia wanaweza kuanza mwaka huu ujenziHilo sijalipata bado boss.
Hamna mkuu Kuna watu wamethibitisha au hujui kusomaMadalali wa viwanja mnawapanga watu
Sijui ndugu yangu. NisomeeHamna mkuu Kuna watu wamethibitisha au hujui kusoma
Una majibu na wewe! Wakati wewe ndiye unaomba msaadaHamna mkuu Kuna watu wamethibitisha au hujui kusoma