Inadaiwa parking kubwa ya magari itajengwa Kibaha Misugusugu itayokuwa na Hoteli na Super Makert. Je, kuna ukweli?

Sawa je ulivyosikia wanaweza kuanza mwaka huu ujenzi
Ndungu yangu usilogwe kupanga mambo yako 100% kwa kufuata mipango ya serikali ya TZ. Kuna siku utakuja kulia kama mtoto mdogo.

We kama unaona hapo panafaa kwa uelewa wako wekeza. Vinginevyo tafuta sehemu nyingine potential kuweka mambo yako au ununue hapo kama pata potea/ Bet don't take any guarantee.
 
Parking ya magari na supermarket na Hotel
Hii mbona haiko sawa
Ninavyojua kama ni biashara ya kuegesha magari inakuwa inajitegemea kwa usalama wa magari hapo
Sasa wakiweka na supermarket na biashara ndogo ndogo na hotel daa
Ila kwa huko kila kitu kinawezekana
 
Kimbilia. Mm niko napambana kufungua dula la vinywaji jumla barabara ya viwanda hii. Kwenda waamuzi secondary
Sahihi mkuu Mimi Kuna jamaa yangu kanistua nikaona niulize humu kama kweli Kuna huo mradi huko
 
Pesa ipo misugusugu. Wafanyakazi wengi sana, haswa kipindi cha mwisho wa mwezi pesa inakua nyingi zaidi. Nipo bongo 2 months. Nafatilia huku, nimeona kuna fursa kubwa sana. Kama mitaji ipo mfuko wa shati.
 
Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze

kuna hii bandali kavu, ambayo itasababisha malori yote yasije tena bandalini.chukuwa containers
ports.go.tz
BANDARI KAVU YA KWALA: MLANGO MPYA WA UFANISI WA BIASHARA ...
 
Kwani mkuu magari kupaki ni lazima iwe roli
 
Ndungu yangu usilogwe kupanga mambo yako 100% kwa kufuata mipango ya serikali ya TZ. Kuna siku utakuja kulia kama mtoto mdogo.

We kama unaona hapo panafaa kwa uelewa wako wekeza. Vinginevyo tafuta sehemu nyingine potential kuweka mambo yako au ununue hapo kama pata potea/ Bet don't take any guarantee.
Sawa mkuu nimekulewa
 
Parking ya magari na supermarket na Hotel
Hii mbona haiko sawa
Ninavyojua kama ni biashara ya kuegesha magari inakuwa inajitegemea kwa usalama wa magari hapo
Sasa wakiweka na supermarket na biashara ndogo ndogo na hotel daa
Ila kwa huko kila kitu kinawezekana
Halafu eneo ni barabarani kabisa yaani morogoro road hii hapa hatua Moja ndio eneo lenyewe
 
Mlandiz,misugu sugu,ruvu, vigwaza, kwara, chalinze, ni hot cake kwasasa
 
Nina kaeneo kangu mlandizi,, jirani na hospitali ya halmashauli ya mji mdogo

Nakavutia muda niweke vijiapartment
Watumishi waje kupanga,,

Kwa ujumla biashara ya nyumba kwa hayo maeneo iko juu sana sana, watu wanauitaji mkubwa sana wa nyumba mpya na ambazo zimejengwa kisasa

Dar es salaam inapumulia kibaha kwasasa fursa ni nyingi sana,

Hiyo ruvu ya mlandiz ina viwanda vya kutosha, na kuna eneokubwa la EPBZ mambo ya uwekezaji kubwa sana na limeshagawanywa na njia zimepimwa plan yao kuweka kilakitu facilities zote zinazosupport uwekezaji kwa wanaoanzisha viwanda na miradi mingine mikubwa ya kiuwekezaji, ofisi zao zina operate now
 
Kumbe ni pazuri Kwa uwekezaji wa nyumba pia
 
Back
Top Bottom