Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.
Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.
Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.
Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.
Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.
Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.
What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.