Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Aisee watu mpo nyuma sana picha mbona zipo mtandaoni huko xHivi kuna ushahidi kuwa alihudhuria!!???

sa100 alienda kuhakiki kama kweli yale matrilioni aliyomkabidhi kama kaacha PIN ya ATM!!Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.
Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.
Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.
Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.
Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.
Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.
What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
Picha zinatengenezwa kiurahisi tuu,lakini pia mimi kama sipo X, nitaaminije habari iliyopo Jamii Forums ambayo haina ushahidi!!??Aisee watu mpo nyuma sana picha mbona zipo mtandaoni huko x
inawezekanaPicha zipo wewe
Kumbe tayari umeweka mazingira ya kukataa tena. Baki unavyoamini mzee.Picha zinatengenezwa kiurahisi tuu,lakini pia mimi kama sipo X, nitaaminije habari iliyopo Jamii Forums ambayo haina ushahidi!!??
Lala ukimuota Mkeo. lkn wewe unamuota Samia usiku kucha. Mchana kutwa unamuwaza Samia tu mkeo kabaki kuwa Mama watoto tu, mawazo yako yote kwa SamiaUnataka nianze kumuota mkeo.
Samia is the head of state lazima ajadiliwe kwa mazuri na mabaya yake.
Weka ushahidi hapa JF,mengine nitaamua mimi.Kumbe tayari umeweka mazingira ya kukataa tena. Baki unavyoamini mzee.
Umeshakataa tayari...kaitafute mwenye labda ndio utaiaminiWeka ushahidi hapa JF,mengine nitaamua mimi.
empty head, head of State
Hata km humpendi ila huyo ni uzushi na uwongo mkubwa, bwanamdogo hizo ni siasa za kijinga za majitaka. We ulimwonaje, umejuaje wakati hakuna chombo cha habari kilichomwonesha? Ndiyo maana mnapuuzwa na kudharauliwa. Toa taarifa za ukweli ujenge credibility. Hakuna mtu mwenye akili atakubaliana na wewe!Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.
Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.
Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.
Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.
Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.
Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.
What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
Tujiulize pia kwanini Tanganyika ilipata uhuru wake mapema kabla ya majirani zake wakati yote yalikua makoloni.?Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.
Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.
Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.
Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.
Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.
Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.
What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
Lioneni zombie km hili, anaingia mzima km nyumbu. Acheni siasa za kishamba, za uzushi hiyo haitawasaidia, kila mtakalosema litapuuzwaKuna uwezekano ana mkono mkubwa sana kwenye issue ya October 29 2025.
Nina uhakika ni suala la muda tu mengi yatajulikana.
Maana kama ni kweli amefariki, uwezekano wa foul play ni mkubwa sana. Inawezekana kuna mkono wa mtu au watu kwenye ajali yake.
Mwuaji anapendeka? Nani hataki kuishi?Hata km humpendi ila huyo ni uzushi na uwongo mkubwa, bwanamdogo hizo ni siasa za kijinga za majitaka. We ulimwonaje, umejuaje wakati hakuna chombo cha habari kilichomwonesha? Ndiyo maana mnapuuzwa na kudharauliwa. Toa taarifa za ukweli ujenge credibility. Hakuna mtu mwenye akili atakubaliana na wewe!
Empty headed is headig our state.empty head, head of State