mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Kwa kutumia ndege ya Babu yakeAlikwenda ki binafsi, siyo kama head of state.
Kwa kutumia ndege ya Babu yakeAlikwenda ki binafsi, siyo kama head of state.
Unataka nijenge credibility kwa nani, kwako? mtu ambaye hata mwezi mmoja JF hujamaliza.Hata km humpendi ila huyo ni uzushi na uwongo mkubwa, bwanamdogo hizo ni siasa za kijinga za majitaka. We ulimwonaje, umejuaje wakati hakuna chombo cha habari kilichomwonesha? Ndiyo maana mnapuuzwa na kudharauliwa. Toa taarifa za ukweli ujenge credibility. Hakuna mtu mwenye akili atakubaliana na wewe!
Ww akili huna, ukiwa mwislamu lazima uwe na matatizo ya akiliAlikwenda ki binafsi, siyo kama head of state.
Wakuu, mnatumia akili gn kusema rais ameenda kibinafsi?Sawa amekwenda ki binafsi, lakini katumia fedha za walipa kodi, ulinzi, usafiri/ndege, personel, maradhi n.k
Walipa kodi wanapaswa kujua hilo.
AirorokiVavaLioneni zombie km hili, anaingia mzima km nyumbu. Acheni siasa za kishamba, za uzushi hiyo haitawasaidia, kila mtakalosema litapuuzwa
Praise and worship team.
Ingizo jipya ila amekuja na vifurushi vya matusi tunamkaribisa.Praise and worship team.
Kapicha basi Mkuu
Povu lote hilo la kazi gani? Kwanini una panic? Hasira zote hizo utakuwa salama kweli? Over what?Lioneni zombie km hili, anaingia mzima km nyumbu. Acheni siasa za kishamba, za uzushi hiyo haitawasaidia, kila mtakalosema litapuuzwa
Wakuu, mnatumia akili gn kusema rais ameenda kibinafsi?
Yn head of state aende nchi nyingine kibinafsi ndio nini?
Kwamba ulinzi wake unabaki Bongo ila yeye pekee yake ndo anaenda au?
Kwamba akienda anapokelewa kama abiria wa kawaida au vp?
Em nieleweshe
Ni kwel. Tuna picha tunazo hapa tukiziweka hapa wengi watasumbuliwaUkimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.
Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.
Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.
Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.
Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.
Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.
What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
Ukilala unamuaota Samia. Mchana kutwa unahangaika kutaftiza Samia yuko wapi, anafanya nini! Kutwa kucha unawaza Samia Samia Samia hivi ht Mkeo ana nafasi kweli!
Au wewe ndo mke mwenyewe nini!
Mana si kwa umbeya huu
Kuna jambo halipo sawaNa kwa nini mambo yalifanyika kwa siri/kimya kimya? Mfano mimi hadi muda huu siamini kuhusu ukweli wa hiyo safari!
Traaaako weweBasi Rais wetu ana upendo sana,ni wakkristo tu wamehamua kumchafua.