Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

Na kwa nini mambo yalifanyika kwa siri/kimya kimya? Mfano mimi hadi muda huu siamini kuhusu ukweli wa hiyo safari!
Maana ya hili ni nini kutuhusu sisi tunaotawaliwa? Kwamba hatuwezi kuhoji chochote na kupata jibu.
Tofauti na hizo nchi nyingine zote, sisi ni kama mifugo ya huyo anayetutawala.
Hawezi kuwajibika kwa lolote kwetu.
 
Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.

Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.

Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.

Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.

Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.

Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.

Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.

What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
Ni jambo jema sana kwamba Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan alienda kuhani msiba huu. Hii inashihirisha tabia ya utu, upenda nakujali tulio nao Watanzania tofauti na watu wengine wa ukanda wetu!

Hongera sana Rais wetu kwa kutuheshimisha Watanzania!
 
Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.

Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.

Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.

Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.

Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.

Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.

Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.

What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
Tuelezwe Chivuyo alikuwa nani kwa Samia.
 
Soma ilani ya uchaguzi ya CCM inasemaje kuhusu marehemu.
 
Ukilala unamuaota Samia. Mchana kutwa unahangaika kutaftiza Samia yuko wapi, anafanya nini! Kutwa kucha unawaza Samia Samia Samia hivi ht Mkeo ana nafasi kweli!
Au wewe ndo mke mwenyewe nini!
Mana si kwa umbeya huu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Minyumbu imekwama mkuu, imekwama saaana!
 
Hongera sana Rais wetu kwa kutuheshimisha Watanzania!
Katuheshimisha? Wewe unamjua Chivayo, mwenzako kaenda kwa rafiki yake kwa mambo yake binafsi wewe unasema kakuheshimisha, kuna mitanganyika ya hovyo sana.
 
Kuna uwezekano ana mkono mkubwa sana kwenye issue ya October 29 2025.

Nina uhakika ni suala la muda tu mengi yatajulikana.

Maana kama ni kweli amefariki, uwezekano wa foul play ni mkubwa sana. Inawezekana kuna mkono wa mtu au watu kwenye ajali yake.
Kwenye uchaguzi nawasiwasi sana yule jamaa alipewa tenda zote za vifaa vya uchaguzi maana ndio issue zake hizo ndio maana kipindi karibu na uchaguzi alikuwa yupo sana tz.
 
Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.

Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.

Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.

Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.

Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.

Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.

Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.

What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
Wengi wamepigwa na Jamaa, Wana hasira
 
Picha zinatengenezwa kiurahisi tuu,lakini pia mimi kama sipo X, nitaaminije habari iliyopo Jamii Forums ambayo haina ushahidi!!??
Kama ni hivi basi hutakaa huamini chochote, kila jambo utakaloelezwa utasema huamini kwa kuwa hamna ushahidi, ushahidi ukiletwa utakuwa unasema picha/video zinatengenezwa kiurahisi.

Suluhisho; uwe unatumia app za kuverify picha/video ili kujua kama zimetengenezwa ama la.
 
Hivi watu kumbe ni makatuga wengi, mnashindwa kuelewa na kudandia hoja.

Niliyemjibu ameandika kuwa ushahidi wa picha upo huko X.Twitter, nikaandika kuwa mimi sina access na hiyo X, hivyo nitaaminije bila kuona hizo picha hapa JF!!??

Nikaandika kuwa pia hizo picha zinaweza kutengenezwa pia, lakini pamoja na hilo, mleta habari alitakiwa kuambatanisha hizo picha hapa, na si kutaka watu twende X/Twitter.

Unashindwaje kuelewa hoja yangu nyepesi kiasi hiki!!!???
 
Back
Top Bottom