Huyo ni mmbeya amebaki kusutwa tuAlienda kwa ungo?.. airport hakuna aliyeona?

Umejuaje kuwa hiyo ni ndege yetu kwa picha hiyo?Inasemekana picha zilikuwa controlled walibahatisha picha ya ndege yetu ikiwa imepaki uwanja wa Mugabe.
View attachment 3687363
Alienda kwa ungo?.. airport hakuna aliyeona?
Unataka nianze kumuota mkeo?Ukilala unamuaota Samia. Mchana kutwa unahangaika kutaftiza Samia yuko wapi, anafanya nini! Kutwa kucha unawaza Samia Samia Samia hivi ht Mkeo ana nafasi kweli!
Au wewe ndo mke mwenyewe nini!
Mana si kwa umbeya huu
Kiwanja gani cha ndege cha jeshi alichotumia?..huko alikoenda nako alitua kiwanja cha jeshiPrivate airstrip kibao bongo hii! Kwani akitumia kiwanja cha ndege cha jeshi nani atamuona?
Siijui.Umejuaje kuwa hiyo ni ndege yetu kwa picha hiyo?
ok.🐒
Kwenda anaweza kabisa. lakini kwenda kwa siri! Hii ndiyo inaleta ukakasi. Kwa nini aende kwa siri?Huamini kwa kuwa hawezi kwenda au huamini kuwa hawezi kwenda kwa siri?
ok.🐒Tuna msiba mzito ujue....😂😂😂😂
Kwenda anaweza kabisa. lakini kwenda kwa siri! Hii ndiyo inaleta ukakasi. Kwa nini aende kwa siri?
It's over and topic is closed 🔐Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.
Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.
Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.
Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.
Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.
Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.
What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
Sidhani kama anayoWeka picha basi akiwa msibani
Hujuwi kama yupo eda na hatakiwi kuonekana public isipokuwa kwa jambo kubwa sana linalohusu nchi?Kwenda anaweza kabisa. lakini kwenda kwa siri! Hii ndiyo inaleta ukakasi. Kwa nini aende kwa siri?
Navyojua popote anapokuwepo, ulinzi ni lazima , maana ni raisi,haijalishi kaenda wapi, huyo anayeshangaa ajue hiloSawa amekwenda ki binafsi, lakini katumia fedha za walipa kodi, ulinzi, usafiri/ndege, personel, maradhi n.k
Walipa kodi wanapaswa kujua hilo.
Aibu sana!Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.
Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.
Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.
Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.
Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.
Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.
What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
Katumia hela za mshahara wake.Sawa amekwenda ki binafsi, lakini katumia fedha za walipa kodi, ulinzi, usafiri/ndege, personel, maradhi n.k
Walipa kodi wanapaswa kujua hilo.
Hivi kuna ushahidi kuwa alihudhuria!!???Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.
Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.
Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.
Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.
Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.
Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.
What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
Picha zipo weweSidhani kama anayo