Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Those who were close friends to Chivayo shall follow soonest. It's just a matter of time. Stay tuned!
Ahahahahaha!Kaua watanzania 518.
Wamehamua ???Basi Rais wetu ana upendo sana,ni wakkristo tu wamehamua kumchafua.
Acha kufanya editing kwenye commentWamehamua ???
Au nina makengeza ya kusoma ulichoandika ????
Sasa kama unaamini zinaweza kutengenezwa akikuletea utajuaje kama ni za kweli ama zimetengenezwa wakati umeshaonesha mashaka??Hivi watu kumbe ni makatuga wengi, mnashindwa kuelewa na kudandia hoja.
Niliyemjibu ameandika kuwa ushahidi wa picha upo huko X.Twitter, nikaandika kuwa mimi sina access na hiyo X, hivyo nitaaminije bila kuona hizo picha hapa JF!!??
Nikaandika kuwa pia hizo picha zinaweza kutengenezwa pia, lakini pamoja na hilo, mleta habari alitakiwa kuambatanisha hizo picha hapa, na si kutaka watu twende X/Twitter.
Unashindwaje kuelewa hoja yangu nyepesi kiasi hiki!!!???
Ni watu wengi sana mna tatizo la kusoma kwa uhafamu.Sasa kama unaamini zinaweza kutengenezwa akikuletea utajuaje kama ni za kweli ama zimetengenezwa wakati umeshaonesha mashaka??