Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

Hivi watu kumbe ni makatuga wengi, mnashindwa kuelewa na kudandia hoja.

Niliyemjibu ameandika kuwa ushahidi wa picha upo huko X.Twitter, nikaandika kuwa mimi sina access na hiyo X, hivyo nitaaminije bila kuona hizo picha hapa JF!!??

Nikaandika kuwa pia hizo picha zinaweza kutengenezwa pia, lakini pamoja na hilo, mleta habari alitakiwa kuambatanisha hizo picha hapa, na si kutaka watu twende X/Twitter.

Unashindwaje kuelewa hoja yangu nyepesi kiasi hiki!!!???
Yaani mimi niandike thread halafu niende nikakutafutie na picha wewe umekaa unasubiri, are you ok, kuna mtu kakulazimisha kuamini kama huamini unaacha, simple .
 
Vipi mbona unajibu OK,just simple like that,ukiwa kama mnadhimu chawa je huna cha kumtetea mungu wako samia?
hayo ni maoni yangu,
ni vizuri kutoa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi yangu bila kuweweseka na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Yaani mimi niandike thread halafu niende nikakutafutie na picha wewe umekaa unasubiri, are you ok, kuna mtu kakulazimisha kuamini kama huamini unaacha, simple .
Nimemjibu aliyenijibu kuwa picha zipo X/Twitter,nikamwambia kwa nini huziweki hapa!!???
Wewe kiherehere kimetoka wapi!!???
 
hayo ni maoni yangu,
ni vizuri kutoa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi yangu bila kuweweseka na itapendeza zaidi gentleman 🐒
Aha fikra mbadala ni hivi kwa kuwa samia ni mama yako basi ujue chivayo alikuwa baba yako
 
Aha fikra mbadala ni hivi kwa kuwa samia ni mama yako basi ujue chivayo alikuwa baba yako
labda hiyo ungemfafanulia mtoa hoja anaweza kukulelewa zaidi gentleman na nadhani itapendeza zaidi 🐒
 
Nimemjibu aliyenijibu kuwa picha zipo X/Twitter,nikamwambia kwa nini huziweki hapa!!???
Wewe kiherehere kimetoka wapi!!???
Ujue humu unajadili na watu wazima halafu hii ni open platform mtu yeyote anaweza kujibu swali lako sio lazima ajibu uliyemuuliza, mwisho pitia hii reply yako hukumtaja mleta hoja?
.....mleta habari alitakiwa kuambatanisha hizo picha hapa, na si kutaka watu twende X/Twitter.
Nikakujibu siwezi kuleta habari halafu nikakutafutie picha ukiwa ume relax.
 
labda hiyo ungemfafanulia mtoa hoja anaweza kukulelewa zaidi gentleman na nadhani itapendeza zaidi 🐒
Na mimi nimeelewa hivyo hivyo kuwa kama Samia ni mama yako basi Chivayo ni baba mdogo wako.
 
Kama ni hivi basi hutakaa huamini chochote, kila jambo utakaloelezwa utasema huamini kwa kuwa hamna ushahidi, ushahidi ukiletwa utakuwa unasema picha/video zinatengenezwa kiurahisi.

Suluhisho; uwe unatumia app za kuverify picha/video ili kujua kama zimetengenezwa ama la.
Ndio maana nimepotezea kuleta picha amekaza kichwa kwelikweli
 
Ndio maana nimepotezea kuketa picha amekaza kichwa kwelikweli
Unataka picha za nini ili uprove nini, hivi ukituambia leo umekutana na bibi yako haitoshi lazima utuonyeshe picha mkiwa mmekumbatiana.
 
Unataka picha za nini ili uprove nini, hivi ukituambia leo umekutana na bibi yako haitoshi lazima utuonyeshe picha mkiwa mmekumbatiana.
Kwani nimekujibu wewe? Nilishamjibu huyo chawa aliyekuwa anataka picha kabla sijatuma anasema inaweza ikawa ni kutengeneza sasa nitume ili iwaje? umedandia tu mzee!
 
Katuheshimisha? Wewe unamjua Chivayo, mwenzako kaenda kwa rafiki yake kwa mambo yake binafsi wewe unasema kakuheshimisha, kuna mitanganyika ya hovyo sana.
Nitajie Moja la kwake binafsi unalolijua kwa ushahidi kuntu. Usipolileta wewe ni MPUMBAVU!
 
Marehemu anatajwa kuwa alikuwa na mchango mkubwa sana katika utengenezaji wa kura bandia za watawala madhalimu Afrika kupitia uchapishaji wa karatasi za kupigia kura. Labda huyu anajua jinsi alivyomsaidia, ndiyo maana aliona ni mihimu kuhudhuria ili kutoa tribute.
 
Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.

Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.

Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.

Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.

Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.

Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.

Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.

What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.

View: https://youtube.com/watch?v=p7uoHTMMS6k&si=142GUsx50BuZmxZ3
 
Back
Top Bottom