Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.

Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa.

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na rafiki hakwenda bali alituma salama za rambirambi.

Mfalme Mswati III wa Eswatini hakwenda bali alituma ujumbe wa watu saba kuhudhuria mazishi.

Rais wa Zambia Hakainde Hichilema hakwenda kwenye mazishi.

Rais wa Kenya William Ruto hakwenda bali alituma jumbe za rambirambi kwenye mitandao.

Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria hakwenda wala hajatuma salamu za rambirambi japokuwa walikuwa marafiki.

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda haijathibitishwa kama alituma ujumbe rasmi wa rambirambi.

Hawa ni baadhi ya heads of state ambao walikuwa marafiki wa Chivayo lakini hawakuhudhuria wengine wala hawakutuma salamu za rambirambi.

What was so special hadi Tanzania tukapeleka ujumbe mzito kiasi hiki kwa msiba ambao sio wa kitaifa.
 
ok.🐒
 
Kuna uwezekano ana mkono mkubwa sana kwenye issue ya October 29 2025.

Nina uhakika ni suala la muda tu mengi yatajulikana.

Maana kama ni kweli amefariki, uwezekano wa foul play ni mkubwa sana. Inawezekana kuna mkono wa mtu au watu kwenye ajali yake.
 
Basi Rais wetu ana upendo sana,ni wakkristo tu wameamua kumchafua hawa matahila ya jiwe na kitimaa
 
Alikwenda ki binafsi, siyo kama head of state.
 
Possible ngoja tusubiri maana si kwa haraka kiasi hicho huku tukiwa kwenye eda, leo kafariki kesho tukasafiri tulikuwa tunawahi nini.

Ukifanya black market situation kama hii haiepukiki.
 
Weka picha basi akiwa msibani
 
Ukilala unamuaota Samia. Mchana kutwa unahangaika kutaftiza Samia yuko wapi, anafanya nini! Kutwa kucha unawaza Samia Samia Samia hivi ht Mkeo ana nafasi kweli!
Au wewe ndo mke mwenyewe nini!
Mana si kwa umbeya huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…