Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Ikitoka kinyume na Imani yenu sielewi mtahamia wapi mkuu
 
Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
Kuna mnyetishaji anadai kwamba Jiwe aliamuru kijana Ben Sa8 akamatwe apelekwe jumba jeupe. Ile kufika tu huyu nduli jiwe alichomoa bastola na kumtoa roho Ben Sa8. Jiwe alimuua Ben kwa mkono wake mwenyewe.

Kama huo uchunguzi utatenda haki basi haya tutayasikia.

Tukisema jiwe alikuwa nduli muuaji muwe mnaelewa.
 
Huu Ni udaku tu, kama Udaku mwingine.
Maneno ya vijiwe vya kahawa.
 
Mama hawezi achia hii ripot.atachofanya ataiomba msamaha familia kimya kimya .Na kuilipa fidia .report itatumika kama ushahidi wa kutoa hela ya serikali tu.lakini kwa ukubwa wa cheo cha rais anajua 100% juu ya mbwa ya chato kumuua huyu kijana kwa kuhoji phd yake
 
Weka ushahidi,
Alafu kafungue Kasi mahakamani.
Kama unachakuongea kaa kwa kutulia.
 
Hapana mm nimesikia tofauti kidogo. Aliwaambia watu wallet akiwa hai. Walivyomleta. Akapanda juu ghorofani akaenda kunywa kakitu kuweka akili sawa. Alivyorudi katoa machine haijarudi

Daah! Me niliota kipindi kile Bny anapotea, Jiwe alimsaka akapatikana akamuweka kati na kisha sijui alimnyng....!!! Kisha akamzk sijui wapi...!!!Hii ilikuwa ni ndoto lakini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…