Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Wewe inaonekana hupo sawa.

Hivi leo hii, mtu akaleta habari kuwa YEHODAYA anaumwa, amelazwa. Utasema mleta habari ni mjinga kwa sababu hajaeleza Yehodaya anaumwa nini?

Yeye kasema tu kuwa mtu fulani kakamatwa na Polisi, wewe unalazimisha aseme sababu ya kukamatwa kwake, je, kama hajui?Kaleta habari, humu ndani kuna watu wengi, labda anawapasha habari wanaomfahamu. Kafanya kosa gani?
 
Siku chache zilizopita alisema kuna njama za kumuua zikiratibiwa na maafisa uhamiaji.Na akatoa screenshot ya mjadala.Inawezekana likawa hilo.Hata hivyo huyu ni ex Police officer na mwanasheria,ni uji unaunguzana na bakuli.
basi ni noma
 
Mleta mada ungeweka sababu za kukamatwa ungeonekana akili zako kichwani zimo kwa uandishi ulioandika unaonyesha kichwa chako nusu kaputi na umo jamiiforums kwa bahati mbaya sio kama great thinker
Hiyo ni taarifa tu, sababu za kukamatwa kwake hao 'polisi kanzu' ndio wanajua.
 
KWANINI WATU WANAKAMATWA kwa Kuviziwa ?
 
Kuandika tu fulani kakamatwa haisaidii sana sababu humu ndani kuna mawakili kibao na wanasheria maguru,viongozi wa Serikali kibao wakiwemo polisi ,wabunge na mahakama wenye uamuzi

Ukiandika vizuri nini hasa aweza pata msaada kama kaongea Ukiandika reason

Mleta mada kuleta mada utafikiri kichwa Cheney akili hana anaandika utafikiri anatumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…