zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Pesa mkuu watu wanatafuta Pesa hata kwa dili feki wapo tayari kulitumia hata jina la Yesu waingize pesaDuh! kama wanafanya mazingaombwe kwenye kazi ya Mungu hawa watu watakuwa wana roho ngumu sana.
Unaweza ukapona kimiujiza au kutumia tiba za kisayansi.lakini,Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Huyu Mwamposa ni tapeli kama matapeli wengine. Wacha wajinga wengi wapigwe mpaka wakome.Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Miujiza ya mitume na Yesu ilikuwa ni ya papo Kwa papo siyo hizi hadithi za njoo nenda rudi subiri. Huu ni upuuzi na mtu mwenye akili timamu hawezi kuamini utapeli huu. Hao ni matapeli tu wamejificha kwenye kichaka Cha dini wakidhani huko hata mkono wa serikali hauwezi kuwagusa. Lakini mwisho wao utafika tu.Hakuna KUPONA kule watu wanapigwa changa la macho tu ushahidi tunao Mimi ndugu yangu wa damu wa kuzaliwa tumbo moja toka nitoke kila siku kiguu na njia kwa Mwamposa eti anahisi siku moja atapona wapi huu mwaka wa 2 unaenda hakuna dalili za KUPONA sana sana anapigwa Pesa za Sadaka za kujimaliza tu na hakuna anachopona hali inazidi kua tete tu kila inapoitwa leo,
Ndio ujue hawa ni wasanii tu. Miujiza kama hiyo they can not fake. Mungu anaweza mambo yote ila hafanyi kazi na matapeli.Nilikuwa nasikiliza wimbo wa joseph nyuki tegemeo langu. Anasema yesu anaponya magonjwa yote kisukari, ukimwi, saratani, n.k. Cha ajabu jamaa ni kiwete, hana mkono. Sasa najiuliza hilo la kumrudishia mkono yesu kashindwa ama vipi?
Utupe miujiza halisi siyo habari za kisukari pumu uvimbe and the like,NO!! There is a great possibility to fake such cases.Nipo barabarani muda huu ila nahaidi nikipata wasaa ntaweka kisa kimoja ambacho kilinifanya nika be introduced pale Kwa MWAMPOSA enzi izo alikua Kule MWENGE,
Ni kisa kirefu ntakiandaa hapa Kwa faida ya wengi kama mlivyo omba....
Wasalaam
Yesu alisema atawakataa hawa matapeli wanaotumia Jina lake vibayaDuh! kama wanafanya mazingaombwe kwenye kazi ya Mungu hawa watu watakuwa wana roho ngumu sana.
Ndio mafundisho ya shetani hayomaji ya uzima yanauzwa nowadays hakuna cha bure
Wanaponywa magonjwa Gani? Au ndo Yale Yale magonjwa yasiyoonekana Kwa macho? Maana ndio gear ya hawa matapeli. Mara kisukari, pumu, uvimbe and so on!!Kuna wagonjwa pia huwa wanapona wakati anafundisha pasi na kutumia hayo maji na mafuta.
Mwamposa Ni tapeli mkubwaMwamposa anasadaka yake inaitwa SADAKA YA KUJIMALIZA hiyo sandakan unatoa pesa yote uliyokuwa nayo mpka nauli yaan akikisha umejimaliza kweli [emoji1][emoji1][emoji1]baada ya hapo utaanza kuona miujiza
Alishasema SIWAJUI NINYI NA HIYO MIUJIZA YENU ENYI WATENDA MAOVU!Yesu alisema atawakataa hawa matapeli wanaotumia Jina lake vibaya
Mwamposa ni tapeli , sema ili uwe Kama mwamposa lazima upate sapoti ya serikali kwanzaUtupe miujiza halisi siyo habari za kisujari pumu uvimbe and the like,NO!! There is a great possibility to fake such cases.
Dada angu wewe rahis kuibiwa ,hayo Ni maigizo, na wanaandaliwa kabisa ,wanapewa script kabisaKuna wagonjwa pia huwa wanapona wakati anafundisha pasi na kutumia hayo maji na mafuta.
wakala mkuu wa shetaniNimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Swali zuri sanaKwanini huwa hawarekodi hao nyoka wanaotoka baada ya kumwaga maji?
Au kwanini wanaotapika hawatapiki pale mbele ya mtumishi wanaenda tapika kwenye majani?Swali zuri sana
Ova
Alafu mpaka serikali,bungeni wanamtambua [emoji1]Huyu Mwamposa ni tapeli kama matapeli wengine. Wacha wajinga wengi wapigwe mpaka wakome.
Sijui hata kama Kodi analipaMwamposa ni retailer mkubwa wa maji hapa Dar tena kwa bei anayopanga yeye. Bila control baada ya miaka 10 kila nyumba itakua na nabii.