Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.

Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.

Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.

Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.

Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Unaweza ukapona kimiujiza au kutumia tiba za kisayansi.lakini,
Waumini wengi wa mwamposa wanashida za kiuchumi,na mqgonjwa yanayoweza kutibiwa hata kwenye vituo vya afya.ila ujinga ndio mwingi,wanaamini watqpona wakiwekewa mikono!
Pia hakuna gari,nyumba,pesa inayokuja kwa kuomba TU na kushinda kanisani!!Ila Imani kwamba "kwa Imani unaweza ukaamisha mlima utoke sehemu Moja kwenda nyingine,ni porojo,na nukuu potofu yq neno la Mungu"
Huyo mwamposa ni mfanyabishara ana miriki hotel,muulize ameijenga kwa muda Gani?
Kwanini asingeomba na kifunga,ghafla hotel itokee TU mara paaap,iwe na kila kitu na wafanyakazi!
Haiwezekani,falsafa yangu IPO hv,"without God,we can't,and without us He(God)will not"
Bila Mungu hatuwezi kufanikiwa,lakini,bila kazi za mikono,yetu,hakuna Mungu kitu atafanya! Hana mwili,anahitqji human intervention hapa duniani.
Waumini wa mwamposa,wakibebwa pale wapelekwe Mloganzira,wengi watapata tiba,Wana magonjwa ya kawaida,na ukosefu wa fedha
 
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.

Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.

Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.

Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.

Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Huyu Mwamposa ni tapeli kama matapeli wengine. Wacha wajinga wengi wapigwe mpaka wakome.
 
Hakuna KUPONA kule watu wanapigwa changa la macho tu ushahidi tunao Mimi ndugu yangu wa damu wa kuzaliwa tumbo moja toka nitoke kila siku kiguu na njia kwa Mwamposa eti anahisi siku moja atapona wapi huu mwaka wa 2 unaenda hakuna dalili za KUPONA sana sana anapigwa Pesa za Sadaka za kujimaliza tu na hakuna anachopona hali inazidi kua tete tu kila inapoitwa leo,
Miujiza ya mitume na Yesu ilikuwa ni ya papo Kwa papo siyo hizi hadithi za njoo nenda rudi subiri. Huu ni upuuzi na mtu mwenye akili timamu hawezi kuamini utapeli huu. Hao ni matapeli tu wamejificha kwenye kichaka Cha dini wakidhani huko hata mkono wa serikali hauwezi kuwagusa. Lakini mwisho wao utafika tu.
 
Nilikuwa nasikiliza wimbo wa joseph nyuki tegemeo langu. Anasema yesu anaponya magonjwa yote kisukari, ukimwi, saratani, n.k. Cha ajabu jamaa ni kiwete, hana mkono. Sasa najiuliza hilo la kumrudishia mkono yesu kashindwa ama vipi?
Ndio ujue hawa ni wasanii tu. Miujiza kama hiyo they can not fake. Mungu anaweza mambo yote ila hafanyi kazi na matapeli.
 
Nipo barabarani muda huu ila nahaidi nikipata wasaa ntaweka kisa kimoja ambacho kilinifanya nika be introduced pale Kwa MWAMPOSA enzi izo alikua Kule MWENGE,

Ni kisa kirefu ntakiandaa hapa Kwa faida ya wengi kama mlivyo omba....

Wasalaam
Utupe miujiza halisi siyo habari za kisukari pumu uvimbe and the like,NO!! There is a great possibility to fake such cases.
 
Mwamposa anasadaka yake inaitwa SADAKA YA KUJIMALIZA hiyo sandakan unatoa pesa yote uliyokuwa nayo mpka nauli yaan akikisha umejimaliza kweli [emoji1][emoji1][emoji1]baada ya hapo utaanza kuona miujiza
Mwamposa Ni tapeli mkubwa

Hawezi kuponya vilema wasio na miguu ,yeye anaponya vilema wenye miguu miguu miwili tu

Mwamposa Ni tapeli wa kiwango Cha SGR , anauza Mafuta ,maji, udongo , plus Sadaka za kila aina

Jamaa kwa session moja ana uhakika wa Hata million 300
 
Utupe miujiza halisi siyo habari za kisujari pumu uvimbe and the like,NO!! There is a great possibility to fake such cases.
Mwamposa ni tapeli , sema ili uwe Kama mwamposa lazima upate sapoti ya serikali kwanza

Nimeshafika pale Kanisa kwake jamaa Ni tapeli haswa

Kuna sehemu kajaza magongo ya vilema Kama yote

Kichekesho Sasa hakuna kilema asiye na mguu amewahi kurudishiwa miguu au vipofu kuona

Kuna jamaa alinituma maji kwa mwamposa ,ya elfu 15 nikaona asinitanie ,nikanunua dukani nikampelekea ,nyingine nikabeba

Yaani ningekuwa mjinga nimpe mwamposa Pesa kirahisi wakati najua anaiba tu
 
Kuna wagonjwa pia huwa wanapona wakati anafundisha pasi na kutumia hayo maji na mafuta.
Dada angu wewe rahis kuibiwa ,hayo Ni maigizo, na wanaandaliwa kabisa ,wanapewa script kabisa

Manabii wote unaowona hapa Tz Ni matapeli

Hivi unaelewa Cheo Cha UNABII lakini?

Nabii Ni daraja Kati ya Mungu na mwanadamu

Nabii kifupi anaongea na Mungu ,nabii anaweza kukutajia hata ufanye Nini ili usife , Rejea nabii Isaya kwa mfalme hezekia

Sasa mwamposa alileta balaa kule Moshi watu wakafa. ..wengine wakajeruhiwa ,akawakimbia

Kwanini asiwamwagie Mafuta na maji wapone na waliokufa wafufuke , zaidi akakimbia na akalindwa na serikali
 
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.

Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.

Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.

Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.

Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
wakala mkuu wa shetani
 
Hujielewi

Back
Top Bottom