Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Unaweza ukapona kimiujiza au kutumia tiba za kisayansi.lakini,
Waumini wengi wa mwamposa wanashida za kiuchumi,na mqgonjwa yanayoweza kutibiwa hata kwenye vituo vya afya.ila ujinga ndio mwingi,wanaamini watqpona wakiwekewa mikono!
Pia hakuna gari,nyumba,pesa inayokuja kwa kuomba TU na kushinda kanisani!!Ila Imani kwamba "kwa Imani unaweza ukaamisha mlima utoke sehemu Moja kwenda nyingine,ni porojo,na nukuu potofu yq neno la Mungu"
Huyo mwamposa ni mfanyabishara ana miriki hotel,muulize ameijenga kwa muda Gani?
Kwanini asingeomba na kifunga,ghafla hotel itokee TU mara paaap,iwe na kila kitu na wafanyakazi!
Haiwezekani,falsafa yangu IPO hv,"without God,we can't,and without us He(God)will not"
Bila Mungu hatuwezi kufanikiwa,lakini,bila kazi za mikono,yetu,hakuna Mungu kitu atafanya! Hana mwili,anahitqji human intervention hapa duniani.
Waumini wa mwamposa,wakibebwa pale wapelekwe Mloganzira,wengi watapata tiba,Wana magonjwa ya kawaida,na ukosefu wa fedha