Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Walioko majumbani wanafanya hivyo lakini si unajua binadamu wengine wanaamini wakiyapata ya kawe labda yatakuwa na nguvu sana[emoji23][emoji23]
Ndo Yale Yale mambo ya maji ya mto Yordani (holy water) mara sijui udongo mtakatifu kutoka Israel (holy soil)!! Ukristo umekuwa na mambo ya kuchekesha kabisa
 
Ndo Yale Yale mambo ya maji ya mto Yordani (holy water) mara sijui udongo mtakatifu kutoka Israel (holy soil)!! Ukristo umekuwa na mambo ya kuchekesha kabisa
Ishu ya uchumi imeingia pia,wanajua pesa ipo kwa kuwa watu wana shida
 
Dada mmoja nafanya naye kazi. Hazai. Kaunda hospital kubwa South Africa mara 2. Na hospital zote kubwa hapa bongo . Mwisho kaenda kwa mwamposa kaishia kufanyiwa mazingaombwe ya kutolewa chura ukeni basi hamna cha kuzaa wala upuuzi gani.
Duh
 
Mwambie akimbie kutoka huko
 
Jizi kubwa lile linafanya usanii weee unasema miujiza loh , kuna mijitu ovyo kabisaaaaa hata kutumia akili ndogo waliyo nayo kama ya kuku hawawezi nyambaf kabisa Hakuna mtu pale TAPELI JIZI kubwa lile
 
Mkuu nakumbuka vyema ndugu yangu nivumilie Leo haitopita... inshallah
Unajua nataka niandike Kwa utulivu maana sitaki kukurupuka...
Kuna majukumu Jana yalinibana ila Leo nta share...
Vip mkuu ushahidi ulioahidi toka may 23 mpaka leo holaa umeingia mitini au bado hujapata utulivuu.
 
Vip mkuu ushahidi ulioahidi toka may 23 mpaka leo holaa umeingia mitini au bado hujapata utulivuu.
Sawa mkuu Kwa kunikumbusha......ila shuhuda ni nyingi sana hata wewe kama upo dar es salaam....

Unaweza kwenda pale kawe TANGANYIKA PACKER'S na ajenda zako ukaja hapa kutupa ushuhuda hata kama hauna Imani nenda then tutakuja hapa kuzungumza lugha Moja...
 
Ila ulituhaidi ungeweka ushahidi hapa mkuu.
 
hapo kny kulisha analishwa yeye
 
Yesu asilinganishwe na vitu vya kijinga!
 
Sio Mimi peke angu maelfu elfu wanao jazana kawe wameshuhudia matendo makuu ya MUNGU...

Mkuu kama upo dar es salaam siku Moja nenda pale nenda na ajenda yako...
Fuata formula za pale utakuja hapa kutoa mrejesho...
Kujazana sio kigezo. Shida ndo zinawapeleka watu. Na mara nyingi wanajazana mwezi huu sio wanaojazana mwezi ujao. Mtu akishafukuzia miujiza yake mwezi bila mafanikio, anaacha kwenda. Wakati huo kundi jipya lilo desperate na maisha linasajiliwa. Ndo maana watu hawawezi kuisha.
Ni kama matapeli wanavyotumia mbinu zile zile kila siku miaka na miaka... Ni kwamba aliyetapeliwa hawezi kutapeliwa tena, ila sahihi wajinga na washamba wanazaliwa kila siku.
Kwa hivyo ndugu ule umati sio kigezo!

Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
 
Askofu Benson Idahosa (Baba wa Pentekoste wa Nigeria) yeye alijiondoa kuombea wagonjwa akawaachia Wachungaji wake kwamba yeye level yake ni kufufua, yaani usimletee mgonjwa amuombee, wewe mpeleke mochuari amrudishe hai maiti ya nduguyo. Alifufua wazungu na kumpa utajiri mkubwaaa... ni yeye ndiyo alimtabiria Aliko Dangote kuwa tajiri baada ya kumpisha ndege asafiri kwa dharura kwenda kufufua mzungu Ulaya na Dangote kubaki kusubiria ndege nyingine.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
ni miujiza ya kitapeli na kishetani tu, sio ya wokovu wa Mungu aliye juu.
 
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Hata hiyo anayoifanya Mwamposa ni miujiza ya Yesu, kwa hiyo inaongeza idadi kwa miujiza ya Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…