Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Walioko majumbani wanafanya hivyo lakini si unajua binadamu wengine wanaamini wakiyapata ya kawe labda yatakuwa na nguvu sana[emoji23][emoji23]
Ndo Yale Yale mambo ya maji ya mto Yordani (holy water) mara sijui udongo mtakatifu kutoka Israel (holy soil)!! Ukristo umekuwa na mambo ya kuchekesha kabisa
 
Ishu ya uchumi imeingia pia,wanajua pesa ipo kwa kuwa watu wana shida
 
Dada mmoja nafanya naye kazi. Hazai. Kaunda hospital kubwa South Africa mara 2. Na hospital zote kubwa hapa bongo . Mwisho kaenda kwa mwamposa kaishia kufanyiwa mazingaombwe ya kutolewa chura ukeni basi hamna cha kuzaa wala upuuzi gani.
Duh
 
Usimsikilize huyo muongo nna ndugu yangu ni mgonjwa mgonjwa haswa na anaenda huko kwa huyo Mwamposo sijui Mwamposa hio Posa sijui anapewa nani na anaposwa nani hivi mnaelewa maana ya Posa na Kuposa, Mwamposa ni Nickname km nickname zingine za wapigaji, wezi na waranguzi

Ndugu yangu anaenda huko kila siku hachoki na hajapona mpaka leo ni mwanamke na wanawake ni rahisi sana kuibiwa kirahisi rahisi na hawa wezi wanaitumia vizuri hio loophole ya wanawake kua wajinga wajinga wenye huruma za kijinga na kupenda miujiza ya uongo na kijinga mwisho wanaishia kuibiwa tu na wakiambiwa hapo unaibiwa hawaelewi

Ana uvimbe kwenye kizazi kaenda hospital imeshindikana kaenda kwa Mwamposa kanywa sana yale maji kanywa sana yale mafuta hakuna kitu kimetokea tatizo lipo pale pale so who is Mwamposa km sio mwizi tapeli ?
Mwambie akimbie kutoka huko
 
Jizi kubwa lile linafanya usanii weee unasema miujiza loh , kuna mijitu ovyo kabisaaaaa hata kutumia akili ndogo waliyo nayo kama ya kuku hawawezi nyambaf kabisa Hakuna mtu pale TAPELI JIZI kubwa lile
 
Mkuu nakumbuka vyema ndugu yangu nivumilie Leo haitopita... inshallah
Unajua nataka niandike Kwa utulivu maana sitaki kukurupuka...
Kuna majukumu Jana yalinibana ila Leo nta share...
Vip mkuu ushahidi ulioahidi toka may 23 mpaka leo holaa umeingia mitini au bado hujapata utulivuu.
 
Sawa mkuu Kwa kunikumbusha......ila shuhuda ni nyingi sana hata wewe kama upo dar es salaam....

Unaweza kwenda pale kawe TANGANYIKA PACKER'S na ajenda zako ukaja hapa kutupa ushuhuda hata kama hauna Imani nenda then tutakuja hapa kuzungumza lugha Moja...
 
Ila ulituhaidi ungeweka ushahidi hapa mkuu.
 
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.

Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.

Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.

Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.

Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
hapo kny kulisha analishwa yeye
 
Yesu asilinganishwe na vitu vya kijinga!
 
Sio Mimi peke angu maelfu elfu wanao jazana kawe wameshuhudia matendo makuu ya MUNGU...

Mkuu kama upo dar es salaam siku Moja nenda pale nenda na ajenda yako...
Fuata formula za pale utakuja hapa kutoa mrejesho...
Kujazana sio kigezo. Shida ndo zinawapeleka watu. Na mara nyingi wanajazana mwezi huu sio wanaojazana mwezi ujao. Mtu akishafukuzia miujiza yake mwezi bila mafanikio, anaacha kwenda. Wakati huo kundi jipya lilo desperate na maisha linasajiliwa. Ndo maana watu hawawezi kuisha.
Ni kama matapeli wanavyotumia mbinu zile zile kila siku miaka na miaka... Ni kwamba aliyetapeliwa hawezi kutapeliwa tena, ila sahihi wajinga na washamba wanazaliwa kila siku.
Kwa hivyo ndugu ule umati sio kigezo!

Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
 
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.

Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.

Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.

Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.

Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Askofu Benson Idahosa (Baba wa Pentekoste wa Nigeria) yeye alijiondoa kuombea wagonjwa akawaachia Wachungaji wake kwamba yeye level yake ni kufufua, yaani usimletee mgonjwa amuombee, wewe mpeleke mochuari amrudishe hai maiti ya nduguyo. Alifufua wazungu na kumpa utajiri mkubwaaa... ni yeye ndiyo alimtabiria Aliko Dangote kuwa tajiri baada ya kumpisha ndege asafiri kwa dharura kwenda kufufua mzungu Ulaya na Dangote kubaki kusubiria ndege nyingine.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.

Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.

Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.

Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.

Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
ni miujiza ya kitapeli na kishetani tu, sio ya wokovu wa Mungu aliye juu.
 
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Hata hiyo anayoifanya Mwamposa ni miujiza ya Yesu, kwa hiyo inaongeza idadi kwa miujiza ya Yesu
 
Back
Top Bottom