Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu nakumbuka vyema ndugu yangu nivumilie Leo haitopita... inshallah
Unajua nataka niandike Kwa utulivu maana sitaki kukurupuka...
Kuna majukumu Jana yalinibana ila Leo nta share...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakumbuka vyema ndugu yangu nivumilie Leo haitopita... inshallah
Ndo Yale Yale mambo ya maji ya mto Yordani (holy water) mara sijui udongo mtakatifu kutoka Israel (holy soil)!! Ukristo umekuwa na mambo ya kuchekesha kabisaWalioko majumbani wanafanya hivyo lakini si unajua binadamu wengine wanaamini wakiyapata ya kawe labda yatakuwa na nguvu sana[emoji23][emoji23]
Ishu ya uchumi imeingia pia,wanajua pesa ipo kwa kuwa watu wana shidaNdo Yale Yale mambo ya maji ya mto Yordani (holy water) mara sijui udongo mtakatifu kutoka Israel (holy soil)!! Ukristo umekuwa na mambo ya kuchekesha kabisa
DuhDada mmoja nafanya naye kazi. Hazai. Kaunda hospital kubwa South Africa mara 2. Na hospital zote kubwa hapa bongo . Mwisho kaenda kwa mwamposa kaishia kufanyiwa mazingaombwe ya kutolewa chura ukeni basi hamna cha kuzaa wala upuuzi gani.
Mwambie akimbie kutoka hukoUsimsikilize huyo muongo nna ndugu yangu ni mgonjwa mgonjwa haswa na anaenda huko kwa huyo Mwamposo sijui Mwamposa hio Posa sijui anapewa nani na anaposwa nani hivi mnaelewa maana ya Posa na Kuposa, Mwamposa ni Nickname km nickname zingine za wapigaji, wezi na waranguzi
Ndugu yangu anaenda huko kila siku hachoki na hajapona mpaka leo ni mwanamke na wanawake ni rahisi sana kuibiwa kirahisi rahisi na hawa wezi wanaitumia vizuri hio loophole ya wanawake kua wajinga wajinga wenye huruma za kijinga na kupenda miujiza ya uongo na kijinga mwisho wanaishia kuibiwa tu na wakiambiwa hapo unaibiwa hawaelewi
Ana uvimbe kwenye kizazi kaenda hospital imeshindikana kaenda kwa Mwamposa kanywa sana yale maji kanywa sana yale mafuta hakuna kitu kimetokea tatizo lipo pale pale so who is Mwamposa km sio mwizi tapeli ?
Vip mkuu ushahidi ulioahidi toka may 23 mpaka leo holaa umeingia mitini au bado hujapata utulivuu.Mkuu nakumbuka vyema ndugu yangu nivumilie Leo haitopita... inshallah
Unajua nataka niandike Kwa utulivu maana sitaki kukurupuka...
Kuna majukumu Jana yalinibana ila Leo nta share...
Sawa mkuu Kwa kunikumbusha......ila shuhuda ni nyingi sana hata wewe kama upo dar es salaam....Vip mkuu ushahidi ulioahidi toka may 23 mpaka leo holaa umeingia mitini au bado hujapata utulivuu.
Ila ulituhaidi ungeweka ushahidi hapa mkuu.Sawa mkuu Kwa kunikumbusha......ila shuhuda ni nyingi sana hata wewe kama upo dar es salaam....
Unaweza kwenda pale kawe TANGANYIKA PACKER'S na ajenda zako ukaja hapa kutupa ushuhuda hata kama hauna Imani nenda then tutakuja hapa kuzungumza lugha Moja...
hapo kny kulisha analishwa yeyeNimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Yesu asilinganishwe na vitu vya kijinga!Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Sawa mkuuIla ulituhaidi ungeweka ushahidi hapa mkuu.
Mbele ya Mungu au mbele ya maji na korie?Kweli jamaa ni Bulldozer.
Mungu anamtumia kwa kiwango cha hali ya juu.
Jamaaa anachokifsnya ni kuhakikisha watu waone matatizo yao ni marahisi sana mbele za Mungu.
Kujazana sio kigezo. Shida ndo zinawapeleka watu. Na mara nyingi wanajazana mwezi huu sio wanaojazana mwezi ujao. Mtu akishafukuzia miujiza yake mwezi bila mafanikio, anaacha kwenda. Wakati huo kundi jipya lilo desperate na maisha linasajiliwa. Ndo maana watu hawawezi kuisha.Sio Mimi peke angu maelfu elfu wanao jazana kawe wameshuhudia matendo makuu ya MUNGU...
Mkuu kama upo dar es salaam siku Moja nenda pale nenda na ajenda yako...
Fuata formula za pale utakuja hapa kutoa mrejesho...
Askofu Benson Idahosa (Baba wa Pentekoste wa Nigeria) yeye alijiondoa kuombea wagonjwa akawaachia Wachungaji wake kwamba yeye level yake ni kufufua, yaani usimletee mgonjwa amuombee, wewe mpeleke mochuari amrudishe hai maiti ya nduguyo. Alifufua wazungu na kumpa utajiri mkubwaaa... ni yeye ndiyo alimtabiria Aliko Dangote kuwa tajiri baada ya kumpisha ndege asafiri kwa dharura kwenda kufufua mzungu Ulaya na Dangote kubaki kusubiria ndege nyingine.Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
ni miujiza ya kitapeli na kishetani tu, sio ya wokovu wa Mungu aliye juu.Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
Hata hiyo anayoifanya Mwamposa ni miujiza ya Yesu, kwa hiyo inaongeza idadi kwa miujiza ya YesuNadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Katumie na wewe alizeti na maji kuponya watu kama unadhani ni rahisi
Kwani ile korie imempomyesha nani zaidi ya wazimu?Katumie na wewe alizeti na maji kuponya watu kama unadhani ni rahisi
Yale mafuta hadi machangudoa wanayatumia kwenye kudanga, wanadai yanawapa kismati. Kuna muujiza wa Mungu kweli hapo au genge la waliovurugwa na maisha?Katumie na wewe alizeti na maji kuponya watu kama unadhani ni rahisi