Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Sina Hakika km Kweli hiyo ni miujiza.Ili Jambo fulani liitwe muujiza,Kuna masharti yake,ambayo ni

1.Lazima iwe jambo kubwa,Mfano ukipona vichomi huo sio muujiza Maana ni Jambo dogo na la Kawaida.
2.Jambo hilo lisiweze kuelezeka kisayansi.Hivyo likiwa linaelezeka Kisayansi huo sio muujiza bali ni mbinu tu za kisayansi.
3.Lazima lionyeshe nguvu kuu ya Mungu.Tofauti na hapo ni kufukuza upepo tu au kuupaka rangi upepo.
 
Nakubali.
 
Mungu akusamehe sana sana
 
Haya twambie aliyelisha watu 5000 kwa mikate 5 tu
 
Father Anigu ndie akieleza kuwa kanisa katoliki kuamini kuwa huu ni muujiza kuwa ili ukubalike na kanisa katoliki lazima kwanza uwe mkubwa sana pili uwe kisayansi kuwa hauna solution au kikawaida!! YouTube ziko clip zake akueleza sifa za muujiza kukubalika na kanisa katoliki kuwa kweli huu muujiza

Nilichogundua Father Amigu na kanisa katoliki wanadharau nguvu ya sala hasa ya Baba yetu uliye mbinguni kuwa utupe riziki yetu ya kila siku

Kwa hiyo kwa nini mtu usali hiyo sala wanati una kazi iwe upadri,biashara au kazi jwenye Rozali nk unasali iweje wakati shamba unalo ,kazi unayo ya upadri,uaskofu, au usista au uburuda au upapa,au kazi au biashara unapata chako

Sala ya Baba yetu uliye mbinguni utupe riziki nk unasali ya nini wakati sources za kupata riziki na mkate wa kila siku au chakula unazo kwa nini uhangaike na sala ya Baba yetu uliye mbinguni eti ohhh atupe riziki au mkate au chakula cha kila siku Katoliki fulani hiyo saka kwenye Rozali na ibada zenu

Kama katoliki hawatapeli waumini ni kitu gani hicho? Katoliki basi wafute sala ya Baba yetu uliye Mbinguni kwenye Rozali nk
Waiondoe
 
Kama kweli wanaponya kama wanavyodai, basi tupitishwe kwenye mchakato mzima wa uponyaji mana husema viwete watatembea basi wamchukue mlemavu wa viungo wa kuonekana aombewe apone na si kuja kuaminisha watu kwenye jukwaa kuwa umeponywa wakati kipindi unaumwa hatukujua changamoto ulizokuwa nazo.
 
Haya twambie aliyelisha watu 5000 kwa mikate 5 tu
Kutotokea
haimaanishi kuwa haiwezekani

Yesu aliwaombea wafanye makuba kuliko yeye na mitume waliweza mfano Hakuna popote pameandikwa kuwa Yesu kivuli chake kiliponya na kutoa Pepo ila mitume ilitokea

Mitume.5:14-16
walioamini wakazidi kuongezeka kwa Bwana, wengi, wanaume na wanawake; hata ikawa katika njia kuu hutoa nje wagonjwa, na kuwaweka juu ya majamvi na magodoro, ili Petro akija, ngawa kivuli chake kimwangukie mmojawapo wao. Nayo makutano ya watu wa miji iliyoko kandokando ya Yerusalemu wakakutanika, wakileta wagonjwa, nao walioudhiwa na pepo wachafu; nao wote wakaponywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…