Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina Hakika km Kweli hiyo ni miujiza.Ili Jambo fulani liitwe muujiza,Kuna masharti yake,ambayo niNimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah,ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake,isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza,na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu.!?
Sisi pia sio layman wa kudanganywa km watoto wadogo.Ninae andika hapa sio layman....hata kama hauna Imani...jarib kufanya trial hapo kawe Kwa MWAMPOSA.......
Nenda na ajenda yako yoyote pale #Asap
Utajibiwa mpaka ushangae....
Nakubali.Sina Hakika km Kweli hiyo ni miujiza.Ili Jambo fulani liitwe muujiza,Kuna masharti yake,ambayo ni
1.Lazima iwe jambo kubwa,Mfano ukipona vichomi huo sio muujiza Maana ni Jambo dogo na la Kawaida.
2.Jambo hilo lisiweze kuelezeka kisayansi.Hivyo likiwa linaelezeka Kisayansi huo sio muujiza bali ni mbinu tu za kisayansi.
3.Lazima lionyeshe nguvu kuu ya Mungu.Tofauti na hapo ni kufukuza upepo tu au kuupaka rangi upepo.
Mtukuze Mungu wa Ibrahimu, ulikuwa unaumwa nini, kwa mda gani, au ulikuwa na tatizo gani lililopata ufumbuzi?Mimi binafsi imenitokea muujiza wakati naangalia tv yake tena nilitumia maji ya kununua dukani ,cha msingi imani yako itakuponya
Lazima awekeze maana njia ya mwongo ni fupiHahaha eti Copper. Ana hoteli kali tayari.
Wajinga ndio waliwao.Ni hatari sana. Watu wanaponywa Ukimwi na Kansa pale.
Hata kwa babu wa Loliondo miaka ile wengi sana walishuhudia na kukimbilia huko..Watu wanaoshuhudia ibadani kwake ni wengi sana.
Mungu akusamehe sana sanaNimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah,ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake,isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza,na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu.!?
Haya twambie aliyelisha watu 5000 kwa mikate 5 tuRekodi ya Yesu mbona ilishavunjwa siku nyingi tu
Sio sababu watumishi wa sasa wako vizuri kuliko Yesu la .Ila Yesu Mwenyewe aliomba na kuwaombea watakaofuata baadaye wavunje hiyo rekodi kwa maombi yake
Enzi za Yesu alihubiria watu wachache tu kwa sauti yake tu sasa hivi spika zipo xaweza wafikia wengi kuliko mkutano wa Yesu pia kipindi cha Yesu aliweza wafikia tu waliohudhuria mkutano wake tena wa lugha yake tu bila mkalimani leo watu waweza hubiria dunia nzima mabilioni ya watu kupitia television, nk wa mataifa na lugha mbalimbali kupitia Television ,YouTube, nk kwa kutumia wakalimani nk
Kufanya wanaomwamini makubwa kuliko yeye ni majibu ya maombi aliyoomba sio sababu mtumishi yuko smart sana.Hata wewe waweza fanya makubwa kuliko Yesu
Yohana 14:12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Father Anigu ndie akieleza kuwa kanisa katoliki kuamini kuwa huu ni muujiza kuwa ili ukubalike na kanisa katoliki lazima kwanza uwe mkubwa sana pili uwe kisayansi kuwa hauna solution au kikawaida!! YouTube ziko clip zake akueleza sifa za muujiza kukubalika na kanisa katoliki kuwa kweli huu muujizaSina Hakika km Kweli hiyo ni miujiza.Ili Jambo fulani liitwe muujiza,Kuna masharti yake,ambayo ni
1.Lazima iwe jambo kubwa,Mfano ukipona vichomi huo sio muujiza Maana ni Jambo dogo na la Kawaida.
2.Jambo hilo lisiweze kuelezeka kisayansi.Hivyo likiwa linaelezeka Kisayansi huo sio muujiza bali ni mbinu tu za kisayansi.
3.Lazima lionyeshe nguvu kuu ya Mungu.Tofauti na hapo ni kufukuza upepo tu au kuupaka rangi upepo.
😂😂😂Ni hatari sana. Watu wanaponywa Ukimwi na Kansa pale.
Mwamposa Ni tapeli ,ndio maana alipoleta balaa kule Moshi aliwakimbia majeruhiNinae andika hapa sio layman....hata kama hauna Imani...jarib kufanya trial hapo kawe Kwa MWAMPOSA.......
Nenda na ajenda yako yoyote pale #Asap
Utajibiwa mpaka ushangae....
KutotokeaHaya twambie aliyelisha watu 5000 kwa mikate 5 tu