Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Rekodi ya Yesu mbona ilishavunjwa siku nyingi tu
Niambie ni mtu gani amewahi kulisha mikate na Samaki zaidi watu ELFU 5 kutoka kwenye mikate mitano na Samaki wawili, mtaje zaidi zaidi utawataja hawa wauza mafuta ambayo vijana wengi wanaenda kupigia puNYETO na wengine wanafanyia mapenzi km kilainishi hakuna kitu ile biashara km biashara zingine, km ana miujiza na mazingaombwe Mwamposa mwambia kuna Samaki wawili na keki tano pamoja na chupa moja ya maji naomba leo tule na kunywa bila kulipa chochote watu wote ELFU 5 tuliopo humu fanya muujiza uone km hajawajibu ujinga ujinga na anavyojua kuongea kinyakyusa atufege mwakanyenye
 
Wewe ni MUONGO
 
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Km ni kwa kulipia ili awalishe hio kashaivunja zamani ameshafanya Sana Catering service tu Ila ya kuwalisha bure bila kulipia chochote hajaivunja na hatokaa aivunje na hatofanya maana hana huo uwezo aliekua na uwezo huo ni Marehemu Mzee Regnard Mengi tu kipindi Cha uhai wake alikua analisha watu zaidi ya 5000 bure na hakua nabii wala mchungaji
 

maji ya uzima yanauzwa nowadays hakuna cha bure
 

Jina la Yesu siku zote tanguliza na herufi kubwa, pili sio mchungaji anayefanya hiyo miujiza, yeye ni binadamu tu, ila anakuombea kwa Mungu na ukiwa na imani unapona.
 
Pole yako.Kwani hata km ni kazi muwezeshaji mkuu ni nani?,si ni Mungu!,Wako sawa kwasababu bila Mungu hiyo kazi niliyonayo inaweza kuharibika muda wowote,pia hiyo kazi naifanya kwasababu ninao uzima,afya na nguvu kutoka kwa Mungu,kumbe Riziki zetu zimetoka kwa Mungu.Unless una jambo jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…