Uchaguzi 2020 Inahitaji juhudi ili kurusu uchaguzi kuendelea

Na mwaka huu baada tu ya uchaguzi mtatafuta kwa kukimbilia na hayo manguo yenu ya kijani. Mlizoea kuwafanya Watanzania hawana akili. Sasa mvune mlichopanda.

Tundu Lissu, endelea kuwanyoosha hivyo hivyo hawa fisi waharibifu wa kanda ya ziwa.
 
Tahadhari ni Bora kuliko kuona siku zoote ni Jumamosi!
Kila zama ina ujinga wake!

Nikukumbushe tu zama hizo vijana 10 wenye nguvu wanafungwa shati na mgambo na post wanafika!
Leo iko hivyo?!
 
Magu anapaswa kujiuzulu kwa yote yanayoendelea sasa. Amepoteza credibility na hawezi kutuvusha kipindi hiki muhimu. Amekataliwa ndani na nje ya nchi. Nchi imeshushwa viwango vya kiuchumi kutoka B1 hadi B2 jana tu. Ameshindwa kuleta tume huru, usalama wa nchi umeporomoka, haki na uhuru wa vyombo vya habari na watu binafsi vimeshuka sana. Deni la nje limeongezeka mno, nk. Tufanye mabadiliko watanzania.
 
Uchaguzi ukiwa huru nakwambia JPM hashindi na hicho ndo tunakitaka uchaguzi uwe huru. CCM mmezoea kuiba safari hii mtagonga mwamba! Lissu si wa mchezo!
 
Thibitisha kauli yako kwa mifano mitano hai

mimi natoa mfano mmoja tayari JPM alishinda mwaka 2015
uchaguzi ukiwa huru nakwambia jpm hashindi na hicho ndo tunakitaka uchaguzi uwe huru. Ccm mmezoea kuiba safari hii mtagonga mwamba! Lisu si wa mchezo!
 
Mgao wa ile trillion 1.5 umeanza ?

Naona Mataga mnaanzisha thread hazina kichwa wala miguu.
 
mkuu umeandika vizuri sana moja ambalo jijapenda umetukana, alafu mkuu nashangaa kwanini wanaogopa sana neno ............uchaguzi huru na wa haki why mbona jambo jepesi kinachoitajika ni busara kwamba twende kwenye uchaguzi tumejiandaa kufanya uchaguzi ulio huru na wa haki na atake shindwa au kushindwa basi maisha yasonge , mbona hata malawi maisha yamesonga bila hata mikwaruzo na mfano huo wa malawi rais alietoka madarakani mpaka sasa amepungukiwa nini? Uongozi sio mwisho wa maisha, zinapo badilika nyakati ni dhambi sana kulazimisha ziende kama unavyotaka , na hziwezi kubadilika kwa matakwa yako hata ufanye nini , mfano kuna nyakati mtu hua tajiri lakini siku nyakati zikikataa utashangaa anakua maskini wa kutupa ,thats tunaona matajiri wengi wa miaka ya nyuma kwa sasa wamebaki majina,
 
Aise una akili sana hili sikuwahi kulifikiria. Hivi takwimu za sensa watu mika 18+ ni asilomia ngapi

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kama anashutumu uongo si mna police na maakama.. Take him to court
 
Wale wasiojulikana kwanini hawatakiwi wajulikane
 
Naona huko lumbumba mshedede unawaingia kisawasawa!
 
Nilichojifunza ni kwamba kumbe JPM na ujeuri wake wote kumbe nae anamgwaya huyo Robati Amstedarm.
Mbona tangu Lisu arejee Polisi wameacha kuwasumbua wafuasi wa Chadema!. Tulizoea hata wakiwa kwenye mikutano ya ndani wananyanyasika.
Kumbe kila mbabe ana mbabe wake. Ila nimeipenda hii Amani iliyopo sasaivi, hongera zako wewe Jamaa Amsterdam.
 
Umeandika then umekuja kwa ID nyingine ku comment. Hahaa aiseee Lisu anawakosesha usingizi sana
Relax mkuu naamini huyu mjinga mmoja hawezi kuvuruga amani ya nchi wetu, Naamini inteligency iko stable ivo JPM bado atakuwa mshindi tena kwa kishindo tu
 
Jiwe ndo sababu anaogopa Uchaguzi? Si kajenga Madaraja?
 
Ndo mnashauri jiwe aogope Uchaguzi?
 
Unafananisha TISS ya nyerere na hawa wahuni wa saivi????

Unadhani kwa nini kina kigogo 2014 wamejitenga ndani ya TISS iyoiyo???
 
Relax mkuu naamini huyu mjinga mmoja hawezi kuvuruga amani ya nchi wetu, Naamini inteligency iko stable ivo JPM bado atakuwa mshindi tena kwa kishindo tu
Kwa ulivo kilaza unadhani Amsterdam yupo peke yake???? You have been watched mwaka huu.
Lazima mjue kuwa hamjui mwaka huu!!! Dadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…